UP TO DATE
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 740
- 898
illegal ya wapi hiyo,kijijini kwetu huko huwa wanavuna maji ya kutosha maelfu ya Lita,nyumba nyingi Zina chemba za maji Tena ya kutosha kabisa...Yupo vizuri. Hata mimi ninapenda this kind of life style.
1. Mtungi wa gas wa kupikia as ine Oryx/Mihan gas au gas ipi haswa?
2. Kuhusu maji na umeme solar hata sisi tunafanya hivyo. Ila kuna sehemu niliona wanapiga mikwara/beat kwamba uvunaji wa maji ya mvua sijui ni illegal eti mpaka vibali bla bla blah dah. Guys is harnessing rain-water into your own private rain-water reservoir at home illegal?