MuacheTunakunyaga humo humo
Ule uchafu wa vyooni toka tabata na buguruni unaita maji,Ruvu na Wami ni mbali, yake maji ya Jangwani yanoyozuia watu kwenda makazini yale yangekwenda kwenye reservoir mbona yangeleta mabadiliko chanya.
Hil tz tumeshindwaHivi Dar es Salaam na Pwani kuna water reservoirs ngapi? Maji ya mvua huwa kuna jitihada za kuyakusanya na kuyasafisha?
Water reservoirs zipo,mfano mojawapo ni ile dawasa ya mbagala (Nilishafanya field pale niliiona kwa macho)Hilo nalo ni la kulifikiria. Miji mingi mikubwa ya wenzetu hupata maji toka kwenye reservoirs. Lakini Dar wanategemea yanayoflow mtoni. Na karibu miji yote Bongo wanategemea hivyo. Walau Moro wana Mindu. Dar wangeweza hata kudam Ruvu au Wami na kusahau shida ya maji.
Hivi Dar es Salaam na Pwani kuna water reservoirs ngapi? Maji ya mvua huwa kuna jitihada za kuyakusanya na kuyasafisha?
Ni kubwa kiasi gani, bila shaka unakumbuka inachukua lita ngapi. Wenzetu huwa zinakuwa kama ziwa/bwawa.Water reservoirs zipo,mfano mojawapo ni ile dawasa ya mbagala (Nilishafanya field pale niliiona kwa macho)
Nilimtembelea binamu yangu anaishi kijijini. Nilimkuta ana simtank ya litre 10,000 amezungusha gutters bati lote. Ameweka umeme wa solar na ana mtungi wa gas kwa kupikia. Anasema kabla ya litre 10,000 hazijaisha mvua inakua imenyesha tena.Uvunaji wa maji ya mvua tanzania bado sana, niliona kidogo nyumba baadhi newala wanavuna lakini kwa kiwango kidogo, tungefanya uvunaji kama nchi watu wakahamasishwa kujenga makaro kulingana na matumizi hasa kwa mwaka au miezi sita tatizo la maji lingekua ndoto Tanzania, serikali iwaelimishe wananchi kuhusu uvunaji na utunzaji wa akiba kubwa ya maji ya mvua ili baadae yatumike hata kwenye kilimo ni vile wanawaza tozo za simu
Nilimtembelea binamu yangu anaishi kijijini. Nilimkuta ana simtank ya litre 10,000 amezungusha gutters bati lote. Ameweka umeme wa solar na ana mtungi wa gas kwa kupikia. Anasema kabla ya litre 10,000 hazijaisha mvua inakua imenyesha tena.
Ulaya pembeni ya barabara za highway zote zina mifereji ya kukusanya maji , reservoirs wanazo nyingi hayo maji yanasafishwa na kuwa pumped kwa matumizi.Huyo ameendelea yuko level nyingine kifikra, watanzania wengi huishi kwa mazoea ndio tatizo huanzia hapo, kwa mfano maji yaliyopo Tanzania haina sababu ya kuacha kufanya umwagiliaji mkubwa lakini kila kitu ujanjaujanja tu,
Kuna wakati nikiwa katikati ya mji hapa Arusha tulinaswa na mvua ya kisawasawa...kwa takribani saa mbili tukiwa tumejibanza kwenye baraza ya moja ya duka pale Uhuru road.Hivi Dar es Salaam na Pwani kuna water reservoirs ngapi? Maji ya mvua huwa kuna jitihada za kuyakusanya na kuyasafisha?
Ulaya pembeni ya barabara za highway zote zina mifereji ya kukusanya maji , reservoirs wanazo nyingi hayo maji yasafishwa na kuwa pumped kwa matumizi.
Kwanza mifereji yetu ya barabara iko wazi, licha ya hari ya watu kutumbukia na kuumia pia inajaza uchafu. Ile mifereji ingeelekezwa kwenda kwenye reservoirs mbona ni maji mengi sana tunapoteza.Kuna wakati nikiwa katikati ya mji hapa Arusha tulinaswa na mvua ya kisawasawa...kwa takribani saa mbili tukiwa tumejibanza kwenye baraza ya moja ya duka pale Uhuru road.
Nikawa naangalia ule wingi wa maji yanayopita kwa kasi mbele yetu...ingawa mimi si Mwana hisabati lakini nilijaribu kukadiria lita za maji yayopita usawa ule tu tuliokuwepo hakika yalikuwa ni mamia ya lita za maji kwa sekunde...yaani kama tungekinga tanki la lita milioni moja pale lingejaa ndani ya saa moja kama sio dakika arobaini au nusu saa.
Maji husafishwa na kutumika wala usiogope.Tunakunyaga humo humo