Asilimia kubwa ya maeneo mengi Dar es Salaam yananuka

The ice breaker

JF-Expert Member
Apr 20, 2023
543
1,163
Bonjour

Aisee ndugu zangu siwafichi, asilimia 90 ya maeneo mengi ya Dar es salaam yananuka sana , na hii imesabishwa Kwa poor management ya mitaro inayo pitisha maji machafu, haswa kipindi hiki cha mvua watu wanafungulia chemba alooo ni hatari sana , alafu kila kona ya mtaa unao pita, kuzagaa Kwa ma dampo kila mtaa, hii inapelekea harufu mbaya Kwa wakazi wa maeneo hayo.

Yani imekuwa kero sana , mfano hapa kkoo Kuna chemba zinatema kila siku, Kuna mimaji ya chooni hapa karibu na kituo Cha gerezani, Aisee ni harufu tu , haya maji ni kinyesi kitupu, ukiingia hiyo mitaa Mingine Sasa, ni harafu tu

Embu siku tembelea mitaa kama vingunguti, ilala, magomeni, kigogo, mburahati,mwananyamara, aisee kama unakinyaa huwezi kurudi..

Sijui wahusika na maswala ya usafi wa jiji Wana mipango gani, jiji ni chafu sana .

Nasikia mpka hasira, anyway ngoja nihamie pembezoni mwamji
 
Na baadhi ya masoko , aisee ni machafu ukiingia tu unakaribiswa na harufu ya mauzo ya bidhaa yalio oza,
 
Bonjour

Aisee ndugu zangu siwafichi, asilimia 90 ya maeneo mengi ya Dar es salaam yananuka sana , na hii imesabishwa Kwa poor management ya mitaro inayo pitisha maji machafu...
Ni kweli kwa sababu wananchi wake wenyewe ni wachafu....hapa Dar kupishana na mtu anayenuka mavi au jasho kama hajaoga mwaka mzima ni kawaida sana. Usishangae demu anakuja kwako kuliwa, anavua nguo anatoa shombo kali kuliko soko feri. Inashangaza mno, joto lote hili hapa Dar, mwanamke anavaa jeans inayombana hana nafasi ya kupumua mwili, akikuvulia tu nguo lazima utafungua dirisha ili harufu ya Feri itoke chumbani mwako.
 
Nimeishi Keko Uswahilini, nimekwenda Vingunguti kununua nyama mara nyingi, nimeishi kata ya Sandali mitaa mitatu tofauti mtaa wa Mikoroshini, mtaa wa mwembe mnofi na mtaa wa Mpogo.

Aisee uswahilini kunanuka mavi kutokana na miundombinu duni ya maji taka.

Vyoo duni pia ndio sababu ya mitaa ya uswahilini kunuka mavi.
Keko nyuma ya Gereza ilikuwa unaona kabisa mzigo wa wafungwa ukitiririka kwenye mifereji.

Uswahilini hata kwenda kusalimia ndugu tunaenda tu lakini kunanuka mavi.

Nyie ambao uswahilini mumejenga au mumerithi nyumba na kuamua kufanya makazi yenu ya kudumu hamusikii harufu ya mavi?

Au mumeshsizoea na kufanana nayo?
 
IMG-20240407-WA0346.jpg
 
si hata wewe unatembea nayo kila mahali, unalala nayo, hata unaposoma hii reply unayo, na ukijiskia joto ndio sasa unaenda kuyadamp? au nyani haoni kundule 🐒
 
Nimeishi na brother angu mtaa mmoja jijini dar, jirani yake moja alikuwa kajenga choo cha kienyeji wapangaji wanapanda juu kwenye kibanda kwenda kujisaidia hadi wanapita ukuta unaotenganisha nyumba tunawaona wakiingia chooni.

Cha ajabu choo hicho kimejaa na kimevunda, ikifika usiku kinatoa harufu kali ya uvundo wa mavi kiasi cha kukera harufu yote inakuja nyumbani kwetu.

Brother akilewa anawapiga mkwara wawe na choo bora vinginevyo ataripoti kwa mkurugenzi wa manispaa kwa nini wanatumia choo kibovu.
 
Back
Top Bottom