mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 16,041
- 35,929
Shida yote ya nini shehe na maji ya ruvu na wami yapo yatiririka bureMaji husafishwa Sheikh, muhimu matokeo yakipimwa yasikutwe na mdudu wa maradhi...unakunywa vizuri tu.
Shida yote ya nini shehe na maji ya ruvu na wami yapo yatiririka bureMaji husafishwa Sheikh, muhimu matokeo yakipimwa yasikutwe na mdudu wa maradhi...unakunywa vizuri tu.
Muha weweWakati ule ndiyo nakuja mjini kwa mara ya kwanza, nilienda baharini nikashinda huko kutwa nzima, sasa nikawa na kiu na niko ufukweni mwa bahari, nikijua maji yake ni sawa tu na yale ya Ziwa Tanganyika, nikainama ili ninywe,
Loh! kumbe yana chumvi zaidi ya Uvinza.
Lita 10,000 msimu mpaka msimu? ni familia ya Watu wangapi?.Nilimtembelea binamu yangu anaishi kijijini. Nilimkuta ana simtank ya litre 10,000 amezungusha gutters bati lote. Ameweka umeme wa solar na ana mtungi wa gas kwa kupikia. Anasema kabla ya litre 10,000 hazijaisha mvua inakua imenyesha tena.
Umeambiwa yamepungua kwa kiasi kikubwa. Dar ni mji wenye watu wengi na matumizi ya maji ni makubwa.Shida yote ya nini shehe na maji ya ruvu na wami yapo yatiririka bure
Waongo hao usiwasikilize enzi za jk zimerudi tuliwahi kuambiwa kuwa kina cha maji mtera kimepungua ndio maana kuna mgao wa umeme,mbona enzi za yule dikteta hizo story zilipotea,jk is back,mgao wa maji na umeme vitarudiUmeambiwa yamepungua kwa kiasi kikubwa. Dar ni mji wenye watu wengi na matumizi ya maji ni makubwa.
Lita 2000 kwa wiki wastani wa mapipa nane,so zaidi ya pipa moja kwa siku ,wako vizuriLita 10,000 msimu mpaka msimu? ni familia ya Watu wangapi?.
Hapa jirani yangu tu Mtu na Mkewe/Girl friend hawamalizi wiki bila kupandisha maji kwenye tanki la lita 2000.
Labda Binamu ana chanzo kingine cha maji, au la ana nidhamu kubwa sana ya matumizi.
Matumizi mabaya sana hayo kwa watu wawiliSio vizuri Ndugu, ni matumizi mabaya...mimi kumwaga hata maji niliyosuuzi nguo huwa roho inaniuma, nitayatunza niyatumie kwa shughuli nyingine.
Aisee aifikii level ya bwana it's kinda a tank ivi likubwa kubwa kimtindoNi kubwa kiasi gani, bila shaka unakumbuka inachukua lita ngapi. Wenzetu huwa zinakuwa kama ziwa/bwawa.
No mvua hunyesha kila baada ya miezi mitatu, ukiacha za vuli na masika Kuna zile za rasha rasha. Matumizi makubwa ya maji ni kuoga kwenye shower na tub pamoja na flushing ya chooni.Lita 10,000 msimu mpaka msimu? ni familia ya Watu wangapi?.
Hapa jirani yangu tu Mtu na Mkewe/Girl friend hawamalizi wiki bila kupandisha maji kwenye tanki la lita 2000.
Labda Binamu ana chanzo kingine cha maji, au la ana nidhamu kubwa sana ya matumizi.
Hakika inahitajika pia elimu ya matumizi bora ya maji.No mvua hunyesha kila baada ya miezi mitatu, ukiacha za vuli na masika Kuna zile za rasha rasha. Matumizi makubwa ya maji ni kuoga kwenye shower na tub pamoja na flushing ya chooni.
Kijijini choo cha shimo na kuoga unakinga ndoo unapeleka bafuni.
Hivi Dar es Salaam na Pwani kuna water reservoirs ngapi? Maji ya mvua huwa kuna jitihada za kuyakusanya na kuyasafisha?
Matatizo maji ya kuvulia kuoshea choo choo kinakua na rangi ya uchafu flani hivi. Labda u flush kutoa mzigo na umwage ndoo ya pili kusuuza.Hakika inahitajika pia elimu ya matumizi bora ya maji.
Maji yatumike zaidi ya mara mbili au tatu kutegemea na matumizi...ka mfano maji yakifulia yatumike tena msalani kwa kuflash na kushea choo n.k.
Wachumi Wana kitu inaitwa opportunity cost. Bora kuchimba visima. DOdoma ni jangwa lakini visima vipo,sembuse mikoa mingine.Kwa vyanzo vya maji tulivyonavyo, kufanya desalination itakuwa ujuha.
Lakini naamini bado ipo namna nzuri tu ya kuyafanya yatumike iwapo tutatumia akili na maarifa aliyotupa Mwenyezi Mungu.chukua chumvi robo kilo hapo mkoani,itie kwenye kikombe chenye maji nusu rita changanya,kisha koroga uonje.
chumvi uliyosikia ndio kiwango kilichopo ktk maji ya baharini,huwezi kuyafanyia chochote hayo.
kama uko porini umechoma nyama,na ukawa nayo,unaweza yatumia kama chumvi bila kuhisi kitu chochote kupungua.
Kwaiyo ukanywa maji ya chumviniWakati ule ndiyo nakuja mjini kwa mara ya kwanza, nilienda baharini nikashinda huko kutwa nzima, sasa nikawa na kiu na niko ufukweni mwa bahari, nikijua maji yake ni sawa tu na yale ya Ziwa Tanganyika, nikainama ili ninywe,
Loh! kumbe yana chumvi zaidi ya Uvinza.
Nilimtembelea binamu yangu anaishi kijijini. Nilimkuta ana simtank ya litre 10,000 amezungusha gutters bati lote. Ameweka umeme wa solar na ana mtungi wa gas kwa kupikia. Anasema kabla ya litre 10,000 hazijaisha mvua inakua imenyesha tena.
Mmoja ninamfahamu anaishi Makongo Juu, yeye amechimba kisima cha litre 30,000 na simtank 10,000. Ametega mvua hasa za masika simtank ikijaa yanaingia kisimani. Simtank ikiisha ana pump ya kisimani.Yupo vizuri. Hata mimi ninapenda this kind of life style.
1. Mtungi wa gas wa kupikia as ine Oryx/Mihan gas au gas ipi haswa?
2. Kuhusu maji na umeme solar hata sisi tunafanya hivyo. Ila kuna sehemu niliona wanapiga mikwara/beat kwamba uvunaji wa maji ya mvua sijui ni illegal eti mpaka vibali bla bla blah dah. Guys is harnessing rain-water into your own private rain-water reservoir at home illegal?