DAR: Boniface Jacob(CHADEMA) ashinda Umeya wa Manispaa ya Ubungo

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
1.jpeg

Diwani wa Kata ya Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface Jacob ameshinda nafasi ya Umeya Manispaa ya Ubungo katika uchaguzi uliofanyika leo baada ya ule wa awali kuhairishwa.

Amepata jumla ya kura 16 za UKAWA na Mgombea Wa CCM kura 2 huku Naibu Meya wa UKAWA akishinda kwa kura 15 dhidi ya kura 3 za CCM.
 
Mhe. Boniface Jacob ashinda Umeya Manispaa ya Ubungo, kura 16 za UKAWA na kura 2 CCM huku Naibu Meya akishinda kwa kura 15 dhidi ya kura 3
Hongera zake nampongeza namtakia kazi njema ya kupambana na vibaka na panya road wa ubungo.Ubungo ndiko kunamfaa
 
Hongera zake nampongeza namtakia kazi njema ya kupambana na vibaka na panya road wa ubungo.Ubungo indiko kunamfaa
Ubungo kuna wastaarabu. Huwezi kulinganisha na Kinondoni ya sasa hivi. Uhalifu mwingi upo Kinondoni
 
View attachment 427776
Diwani wa Kata ya Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface Jacob ameshinda nafasi ya Umeya Manispaa ya Ubungo katika uchaguzi uliofanyika leo baada ya ule wa awali kuhairishwa.

Amepata jumla ya kura 16 za UKAWA na kura 2 CCM huku Naibu Meya akishinda kwa kura 15 dhidi ya kura 3.
Safi nilifikiri wangesusa na huku. Susan na Salma wamepiga kura ubungo?
 
Ubungo kuna wastaarabu. Huwezi kulinganisha na Kinondoni ya sasa hivi. Uhalifu mwingi upo Kinondoni
Kinondoni kuna wezi wa mamilioni ubungo ukivaa hata bangili ya plastic au ndala au yeboyebo unakabwa na kuporwa ndala au yeboyebo zako.kule kunamfaa sana huyo meya ndiko saizi yake.NAmpongeza sana hongera mstahiki meya wa ubungo makao makuu ya panya road kwa kushinda uchaguzi
 
View attachment 427776
Diwani wa Kata ya Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface Jacob ameshinda nafasi ya Umeya Manispaa ya Ubungo katika uchaguzi uliofanyika leo baada ya ule wa awali kuhairishwa.

Amepata jumla ya kura 16 za UKAWA na kura 2 CCM huku Naibu Meya akishinda kwa kura 15 dhidi ya kura 3.

Jumla ameshinda kwa kura 18.

Walete walete
 
Back
Top Bottom