Safi sana!
Waigawe tena hii Manispaa!
Masuala kupambana na vibaka kamuulize makonda na pole pole sio kazi ya meya.Hongera zake nampongeza namtakia kazi njema ya kupambana na vibaka na panya road wa ubungo.Ubungo ndiko kunamfaa
Safi sana!
Waigawe tena hii Manispaa!
mfalme Jeecha alikua safariniMathematicians wa CCM mmeshindwaje ku-manouver hapo pamoja na miguvu yenu yooote! ahaaa! Ohoo! Uhuhuuu! Kiruuuu! Mnalia machozi ya mamba eeh!![]()
![]()
![]()
Yewooomiii Lae!!![]()
Hongera sana Bon. Ulihujumiwa sana hata na Rais Magufuli lakini Ushupavu na misimamo yako hukuyumba.Kila la Kheri Kamanda .
Yule mama huwa simuelewi toka alivyojitetea kuhusu kufelisha waislam eti kumpyuta sio waoYule mama alijidhalilisha sana pale Ilala .
Hapo ndio utaona welevu wa ma Prof wa Kitanzania.