Jumba la Boniface Jacob Ex Mayor wa Ubungo limenipa mzuka sana

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,401
15,980
Jana katika mitando mbalimbali yamepost picha ya jumba la Mayor wa zamani wa Ubungo ndugu Boniface Jacob

Jumba limenikosesha usingiz niliamka sa Tisa na kusali sana ili na mimi niweke jengo kama hilo mjini Arusha eneo la Burka estate ambako mimi Dr namiliki kiwanja Cha square m 800

Kwa Kweli mayai yanalipa sana na siasa zinalipa sana ikumbukwe kuwa mayor ana madili mengi na tenda nyingi zinapita kwake na Kisha kupewa fungu kubwa la ukarabati wa miundo mbinu ya eneo husika.

Rai yangu kwa vijana
Vijana ingieni kwenye siasa, siasa zinalipa siyo lazima uwe chawa ndipo upate mafanikio

Swali la mwisho ni kweli ni mayai tu au kuna mengine nje ya pasia
 
Jan ktk mitando mbali mbali yamepost picha ya jumba la mh mayor wa zamani wa ubungo ndugu Boniface Jacob

Jumba limenikosesha usingiz niliamka sa Tisa na kusali Sana I'll na mm niweke jengo kma Hilo mjini Arusha eneo la burka estate ambako mm Dr namiliki kiwanja Cha square m 800

Kwa Kweli mayai yanalipa sna na siasa zinalipa sana ikumbukwe kuwa mayor Ana maadili mengi na tenda nyingi zinapita kwake na Kisha kupewa fungu kubwa la ukarabati wa miundo mbinu ya eneo husika


Rai yangu kwa vijan
Vijana ingieni kwenye siasa siasa zinalipa siyo lazm uwe chawa ndipo upate mafanikio

Swali la mwisho Ni kweli Ni mayai tu au Kuna mengine nje ya pasia
 
Jumba ndio hiloView attachment 2931884View attachment 2931885
IMG_20240311_202129.jpg
 
Back
Top Bottom