Wew kweli panya. Ebu elewa unachokiandika. Kwani yeye Ametoka wapi kabla ya K uchaguliwa kuwa meya mpya ubungo. Na kipindi hicho alipokuwa kinondoni kafanyia nin kuhusu panya road.Ubungo kuna wastaarabu. Huwezi kulinganisha na Kinondoni ya sasa hivi. Uhalifu mwingi upo Kinondoni
Akishinda chadema safi,akishinda ccm wameiba,jifunzeni kuwa waungwanaSafi sana!
Waigawe tena hii Manispaa!
Ili kuondoa hili kuwe na tume huru na mfumo huru wa uchaguziAkishinda chadema safi,akishinda ccm wameiba,jifunzeni kuwa waungwana
Tumeshinda kwa haki ndo tunafurahi ule uchaguzi ambao mlifanya wenyewe subirini hukumu ya mahakamani.Mkishinda mnafurahi namkishindwa mnakimbilia mahakamani nakuandamana!!! acheni urofa
Siyo kweli.Ubungo kuna wastaarabu. Huwezi kulinganisha na Kinondoni ya sasa hivi. Uhalifu mwingi upo Kinondoni
Hongera sana Bon. Ulihujumiwa sana hata na Rais Magufuli lakini Ushupavu na misimamo yako hukuyumba.Kila la Kheri Kamanda .
Hukumu??? Kwa taarifa yako uchaguzi imuwa huru na wa hakiTumeshinda kwa haki ndo tunafurahi ule uchaguzi ambao mlifanya wenyewe subirini hukumu ya mahakamani.