tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,711
- 29,140
Hongera sana kamanda Jacob...sasa imebaki kazi moja tu....kuwafukuza ngedere wa CCM kutoka umeya wa Kinondoni ili tujiongezee idadi ya Halmashauri zinazoongozwa na UKAWA.View attachment 427776
Diwani wa Kata ya Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface Jacob ameshinda nafasi ya Umeya Manispaa ya Ubungo katika uchaguzi uliofanyika leo baada ya ule wa awali kuhairishwa.
Amepata jumla ya kura 16 za UKAWA na kura 2 CCM huku Naibu Meya akishinda kwa kura 15 dhidi ya kura 3.
Jumla ameshinda kwa kura 18.