Boniface Jacob (CHADEMA) nakupongeza kwa kuwatembelea Wananchi wa Kunduchi Mecco na kuwafundisha namna ya kudai haki zao kwa DART

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,032
142,092
Ex Mayor Ubungo Boniface Jacob (Bonnyai) Umeonyesha uwezo mkubwa Sana wa kiuongozi japokuwa wewe ni wa chama cha upinzani

Nawashauri Wananchi wale wanaotaka kubomolewa nyumba zao kupisha ujenzi wa Depot ya Mabasi ya Mwendo Kasi wachukue Ushauri wako

Ni kweli kabisa uwoga wao ndio utawafanya walipwe Fidia kiduchu

Nikiri tu Ubungo walipoteza mtu muhimu wa kuwawakilisha bungeni 2020

Mungu wa mbinguni akubariki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom