pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
CCM walishinda wapi?Akishinda chadema safi,akishinda ccm wameiba,jifunzeni kuwa waungwana
CCM walishinda wapi?Akishinda chadema safi,akishinda ccm wameiba,jifunzeni kuwa waungwana
Ha ha [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] icho kicheko chako dahMathematicians wa CCM mmeshindwaje ku-manouver hapo pamoja na miguvu yenu yooote! ahaaa! Ohoo! Uhuhuuu! Kiruuuu! Mnalia machozi ya mamba eeh!![]()
![]()
![]()
Yewooomiii Lae!!![]()
Kwahiyo ndiyo mlichokuwa mnataka to equalise ili muanze kujustify ushindi wa kinondoni?Wa Ukawa wakipigaa CCM inakuwa mmeibiwa
Ref: Umeya Tanga
Ila ikiwa kinyume ni halali MUNGU ANAWAONA au nyie sio wa Mchezo mchezo
![]()
Alafu unaweza ukakuta unaishi Iringa ila ya Dar yanakusumbuaUbungo inaenda kukosa maendeleo kwa muda wa miaka 5 mingine, hakuna maji wala barabara tena. Note my words.
manispaa ya songeaCCM walishinda wapi?
Sawa mkuumanispaa ya songea
Ni kweli unachosema, ila kwa uchaguzi ule wa meya wa Kinondoni haki haikutendeka, na chama chetu cha CCM kimetuaibisha sana kufanya uporaji mchana kweupe!Makamanda haki hutendeka siku zote tunaposhinda na tunaposhindwa.
Yule mtoto wa Samuel Sitta mnayetaka kumlipa fadhila kwa babaake kuchakachua katiba atausikia umeya redioni .Makamanda haki hutendeka siku zote tunaposhinda na tunaposhindwa.
Mkuu hii ni maandalizi ya kinondoni, bao kama hili walilifanya Tanga kisha wakaanza kusoma matokeo kuanzia naibu akashinda wa ukawa alipata mpk za ccm, walivyokuja meya akashinda wa ccm kwa kura mpk za ukawa ndo vurugu ilipoanzaHuko Ubungo Madiwani wa UKAWA wapo 15,lakini Meya kapata kura 16,hii ni kusema Diwani mmoja wa CCM kampigia kura Meya wa UKAWA.
Duuh!!Kweli kura ni siri

View attachment 427776
Diwani wa Kata ya Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface Jacob ameshinda nafasi ya Umeya Manispaa ya Ubungo katika uchaguzi uliofanyika leo baada ya ule wa awali kuhairishwa.
Amepata jumla ya kura 16 za UKAWA na kura 2 CCM huku Naibu Meya akishinda kwa kura 15 dhidi ya kura 3.
Umelowa?Kinondoni kuna wezi wa mamilioni ubungo ukivaa hata bangili ya plastic au ndala au yeboyebo unakabwa na kuporwa ndala au yeboyebo zako.kule kunamfaa sana huyo meya ndiko saizi yake.NAmpongeza sana hongera mstahiki meya wa ubungo makao makuu ya panya road kwa kushinda uchaguzi
Katika mazingira ya hujuma za CCM haki haiombwi inapiganiwa.Makamanda haki hutendeka siku zote tunaposhinda na tunaposhindwa.