Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,381
- 40,823
Ingekua ni rahisi hivyo ungekua ushajipatia rich simp wako. Anakulipia hizo bill na ashakufungulia hiyo kampuni ya mabililioni. But look at you, broke, damaged, overused, traumatized.Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.
Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.
Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .
Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
😆😆😆😆🙌Tunawasubiri wasogee pande hii kujibu mahambulizi.
Unaijua bilioni lakini?anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni
Haki yako kupewa pesa? Kivipi yani?sisi ni haki yetu kupewa
Kodi mbali sana kaka angu. Wakidaiwa elfu 30 tu ya malimbikizo ya ile michezo yao ya elfu nne kila siku. Ghafla unapata sms "leo nakuja kulala kwako nitakupa mkvndv"Tuambie ni wanawake wangapi wamefunguliwa makampuni na biashara kubwa hapa Tanzania!
Wadada mnaishi maisha ya kufikirika sana! Fanyeni kazi, wenzenu wanauza masokoni huko, busy kutafuta pesa, mwingine yupo busy kuangalia nani ana pesa za kumhudumia.
Ndio ile "nilipie kodi nitakupa ****". Nawaombea sana wanawake wawe na akili.
Pole sana mkuuUkiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.
Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.
Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .
Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Kumbe ni Unique Flower kwenye 1&2. No wonderIla DA maua, sijui huwa unawazaga nini, lakini umesema ukweli. Lol
😂😂😂
Una mawazo ya kimasikini Sana, Una Acha kuwaza kufanya KAZI unaweza kuombaomba hela kwa wanaume matajiri.Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.
Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.
Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .
Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Mwanamke kaumbwa kutunzwa, lazima atunzwe na mwenye pesa, wala hachelewiHizo nguvu za kuwakaba koo mpaka wacheua mgezitumia kutafuta maisha yenu,mngekua mbali sana,
Hizi ndoto za kusubiri miujiza eti aje Mwanaume akubadilishie maisha ghafla zitawa chelewesha sana.
NILIWAHI KUKWAMBUA WEWE HUMU NI SINGLE MAZA PALE MORO KWANINI ULIKUBARI TOKA CHUO NA KUPIGWA MINBA BILA NDOA HAYA MAKASIRIKO PAMBANA NA HALI YAKO HAYUPOWANAUME WA AINA HIYO LABDA ZUZUUkiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.
Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu.
Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .
Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Damn!!! bro she will never heal for this 🙌🏾Pole sana mkuumkuu
Wenye pesa wanatafuta bikra ili kusafisha nyota zao