Dalili za mwanaume maskini ni hizi

Incarnating at the wrong time, I must go for resetting
 
Kwa hiyo kwako mwanaume masikini au tajiri anapimwa kwenye eneo la kuhonga?
 
Mwanamke mwenye roho ya Jezebeli anaonekana kwa mfululizo wa tabia ambazo zinaweza kuonekana kwa njia mbalimbali, ikiwemo udanganyifu, udhibiti, uasi, uwongo wa hisia na udanganyifu wa kiroho. Mara nyingi hushughulikia kuinyamazisha sauti za wanaume, unabii na uongozi wenye afya, jambo linalosababisha kuchanganyikiwa na upweke katika mahusiano. Dalili za Roho wa Jezebeli zinaweza kujumuisha hofu ya kihisia, wasiwasi, aibu, mkanganyiko wa kiroho, mahusiano yaliyoharibika, na vikwazo katika ukuaji na umoja katika mahusiano. Ili kushinda Roho wa Jezebeli, wanawake wanahimizwa kuomba maombi ya ukombozi, maombi ya nguvu na utambuzi, na maombi ya ulinzi wa mahusiano yao ama ndoa.
 
Hili povu sio la nchi hii. Kama unajiweza kiuchumi kwa nini mwanaume akufungulie kampuni? Si ufungue mwenyewe?
 
Pole sana kwa yaliyo kukuta,ndio Dunia ilivyo,

Ukigeuza uchi wako kua kitega uchumi,utamlaumu kila mtu na kumuona kua yeye ndiye aliye kusababishia umasikini na kukuzeesha,

Badili hiyo mindset ya utegemezi,bado unayo nafasi,

Au nasema uongo ndugu wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…