Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

smile vipi tena ndugu humtaki wifi wewe????muacheni baba tuli wangu jamani,love wasikusumbue kichwa hawa dada zako wa hiyari lol

Huyu sis huyu ni sitaki nataka mambo yake
yaani anataka na huku analilia kuwa hataki
Mwache tuu wife huyu asikusumbue kichwa
 
Hahaha umepinda mbaya...........Hata huo u mod napata mashaka nao utakapoupata lol!
 
Lol...hivi ikitokea nimevunjika mbavu kwa haya mayuziful quote yako Serekali itanipeleka india au?
 
Hey... Namaste yaar.... Missed you Viper it has been long bana.... Hopefully sasa we can play that game of Chess....

Wimbo wako umenikosha.....lol... Are you not in love Viper....

haha.. dah yaani didi mimi nipo 100% in love... muda si mrefu nitakuja kukualika ndoa wacha mipango ikae sawa Tu ...! lakini boti waweza kupanda...?! maana twaelekea visiwani....
 
Nimeona mambo ya mama Tuli... Kuna post humu ndani navua miwani nikipita ili nisisome.....lol... Ok umenipoza... sis eeeh??

hahahaaa we endelea tu kuvua miwani......bishanga kasha chakachuliwa,karata anazipanga mwaka!!!!
 
Hahaha umepinda mbaya...........Hata huo u mod napata mashaka nao utakapoupata lol!
Too late, Ashadii tayari asha do ze nidful, hehehehe sweetlady hakujibu PM yangu anakula ban wiki 2 kwa kuzarau PM ya mod kloro (huu ni mfano tu)
 
Inahusika sana kuleta vimelea vya virutubisho chini ya kitovu
Am under 18 Fidel, nikiomba ufafanuzi wa chini ya kitovu nitakuwa siitendei haki miaka yangu...lol.

Ushauri nje ya mada: unaonaje mkijiunga na kloro muwe Comedian? Think Fidel, mie ntakuwa mfadhili wenu!
 
Too late, Ashadii tayari asha do ze nidful, hehehehe sweetlady hakujibu PM yangu anakula ban wiki 2 kwa kuzarau PM ya mod kloro (huu ni mfano tu)
Haa haiwezekani ngoja na sisi tutafutee NMC square yetu nafikiri itakuwa jukwaa la Chit Chat mpaka kieleweke toa msimamo wako juu ya uchakachuaji wa sredi ili tujue kama tupo pamoja
 
Haa haiwezekani ngoja na sisi tutafutee NMC square yetu nafikiri itakuwa jukwaa la Chit Chat mpaka kieleweke toa msimamo wako juu ya uchakachuaji wa sredi ili tujue kama tupo pamoja

Atakaechakachua sredi atapewa upremium member bila kulipia chochote.
nalog out kamanda, nampeleka waifu mateniti naona anahisi kichef chef kidogo
 
Too late, Ashadii tayari asha do ze nidful, hehehehe sweetlady hakujibu PM yangu anakula ban wiki 2 kwa kuzarau PM ya mod kloro (huu ni mfano tu)
Hahaha! Edit upesi hapo kwa AshaDii weka husninyo! Hivi unamjua vizuri memba anaeitwa Kaizer? Usijesema sijakwambia!
 
Atakaechakachua sredi atapewa upremium member bila kulipia chochote.
nalog out kamanda, nampeleka waifu mateniti naona anahisi kichef chef kidogo
Nimefurahi unapolog out unajibu na swali la Asha Dii kabisa kwamba your in Love................mpe pole ua waifu usisahau kupitia sokoni kwa ajili ya maembe mabichi
 
Atakaechakachua sredi atapewa upremium member bila kulipia chochote.
nalog out kamanda, nampeleka waifu mateniti naona anahisi kichef chef kidogo

Kweli u r in love
Mpaka unampeleka wife maternity
Safi sana hiyo Kloro
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…