Yummy
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,796
- 1,337
Umepika nini leo?
we wataka kula nn?ndio kwanza naingia home,let me know wat u wanna eat
Umepika nini leo?
we wataka kula nn?ndio kwanza naingia home,let me know wat u wanna eat
Kiti faya....
Uliyoandika mengi ni kweli yanatokea Asha dii,Lool nilimpenda,nampenda na nitampenda milele, naomba mungu anisaidie shetan asipite karibu.
Kiukwel majaribu ni mengi hayakwepeki hayo hata kidogo,communication ikiwepo sometimes inasaidia kuclear doubts,bt mungu ni mwema siku zote hapendi mifarakano
Sweetie umeniacha njia panda.... Au haitakiwi nielewe?? lol
Sweetie mi mwenyewe sijaelewa ndo maana nikaifail hiyo.....najaribu kuconnect dots hapa lakini wapi...waweza kunisaidia love?
I felt that way ten years ago! After the death of that relation ....huwa nafanya hayo mambo nikikumbuka jambo ktk movie AU cartoon, story ktk kitabu au comments hapa JF, waiting the miracle, i might feel that way once more to smbdy special
Mzima dear mambo yako salamaKumisiwa faraja R' Asante dear nimefurahi saana..... Mzima wewe??
Mzima dear mambo yako salama
Asante sana dear
Siredi naona inaenda tuu
Yaani nimesahau hata niliishia page ya ngapi huko...lol... Kuna issue imenibana nashindwa hata rudi nyuma kujibu pending posts.. Hata hivo si waelewa lakina kua Mapenzi yana Run Dunia?
baba tuli wa hiari upo?AshaDii mambo vipi. Naamini uko salama. Nimekumiss(ila kimya kimya)
baba tuli wa hiari upo?