klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Halaf waambie wachumba zako wasiniPM bana, mzembe niko full booked. Sio hapa kwenye sredi wanajifanya kukushobokea halaf huku PM wanakusagiaWeee banaa unataka maujiko ya bure tu
Halaf waambie wachumba zako wasiniPM bana, mzembe niko full booked. Sio hapa kwenye sredi wanajifanya kukushobokea halaf huku PM wanakusagiaWeee banaa unataka maujiko ya bure tu
Weee banaa unataka maujiko ya bure tu
kwani mimi demu?mi demu wangu simruhusu kabisa gym sitaki atoke vigimbi
Hee!! Husahau?? lol.... I thot leo nitapata jibu (na nishakupigia debe ya U-Mod uchukue nafasi ya Paw)[/QUOTE]
heheh hapo red hapo!
Mood: nimefurahi
Halaf waambie wachumba zako wasiniPM bana, mzembe niko full booked. Sio hapa kwenye sredi wanajifanya kukushobokea halaf huku PM wanakusagia
Gagurito niliku-MISS je?? Yaani niliku MISS mpaka nikakutungia thread but stilll..... Inatakiwa ulipe faini sio kupotea huku Khaa!!
hahaha.... Naanza kua na wasi.... Smile's new LOOK imekuchanganya nini?? lol
Yap hili pini limesimama sana naona album yake Ambition sio mbaya ila nilikuwa nasikiliza dirty version ya Taylor Gang ya Wiz Khalifa huyu jamaa naye kapinda sanaaa naona wamedumu muda mrefu kidogo na Amber RoseKuna hii joint "Lotus flower" featuring Miguel sasa hivi inapata spins nyingi sana redioni. And I'm diggin' it. Mnaija anakuja juu huyu
Wale - "Lotus Flower Bomb" (ft. Miguel) NEW Single [Ambition] - YouTube
kwani mimi demu?
Dah!!! Kamanda unapenda maujiko kama CCMHalaf waambie wachumba zako wasiniPM bana, mzembe niko full booked. Sio hapa kwenye sredi wanajifanya kukushobokea halaf huku PM wanakusagia
Hii ni mimi na wewe
But am in love and i will be in love forever
Dah! kamanda skukushtukizia? naona umeamua kuwakimbiza kwa staili mpyaMzazi kwa maujiko sikuwezi kama wabunge wa CCM anatoa msaada wa baiskeli mbili anaita waandishi wa habari bahasha anatoa kwa wanahabari thamani yake inazidi msaada anao utoa baiskeli 2 ni laki mbili bahasha kwa wanahabari laki 7
Zile kampeni za Igunga na helikopta zilimuharibu sanaJamaa anapenda promo huyo kama mbunge
mmmmmmmmmmmmmh kaka???????????no no usiwe na wasi wasi
smile ni my sis bana mimi na yeye tuna mengi yamejificha ila sio ya siri
ila mama tuli bana wacha tuu deep in love jamani
Hahahahaha! Mambo mambo ndugu yangu, huwezi amini nilitingwa teh! nashukuru kuona upo VYEMA, moto wako Ashadii dah! Waswahili wanasema KAMAKAWA KAMADAWA, NIMERUDI. Fain kulipa lazima teh! I am in love with MMU!
Hahahahaha! Mambo mambo ndugu yangu, huwezi amini nilitingwa teh! nashukuru kuona upo VYEMA, moto wako Ashadii dah! Waswahili wanasema KAMAKAWA KAMADAWA, NIMERUDI. Fain kulipa lazima teh! I am in love with MMU!
No no usiwe na wasi wasi
Smile ni my sis bana mimi na yeye tuna mengi yamejificha ila sio ya siri
Ila Mama Tuli bana wacha tuu