Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Hahahaha! Swahiba bana kwa kuyeyusha sikuwezi, si umwambie tu AshaDii kuwa You think your in love with me yaishe!. Maneno yako yanapingana na hizi PM ulizonitumia!
Khaaaaaaa!
Mood: Lawyer nimepazal tena
 
Naomba Mungu nisiwe mmoja wao..............mimi penda jf sana
Haumo, lakini kuna wazembe 2 kwenye hii sredi (majina kapuni) watapata ban kwenye rehearsal yangu ya majukumu ya umod. stay tuned
 
Mbona wajichanganya??? Ulisema kua mkeo kauzu kama Nyamayao (as per your words) alafu saizi Nyamayao akutosha? lol.... C'mon Man!
Nakuchanganya tena...........mai waifu na Nyamayao wa jf wanakatabia kana fanana ka ukauzu so my waifu kanick name kake ni Nyamayao lakini hilo jina bado sijalialaunch pale nyumbani maana na check na mood yake
 
heheeh watoto wa geti michosho tu kamanda,wewe unaomba gemu wao wanataka muangalie tamsilia.

Mi niliapa sitorudia tena tumetoka out dahh maumivu kamanda kila anacho kiona anataka kununua akanikamua mpaka hela ya guest mm nataka nimpleke Guest zangu za uswazi za buku 5 self contained room yeye anang'ang'ania The Atrimius pale Sinza dahh na tuchukue tax mfukoni nimebakiwa na msimbazi aaah ikabidi niseme wazi tu sizitaki mbichi
 
Kesi gani tena sweet....
Uligoma kujibu new PM yangu ilhali ulikuwa wajua fika kuwa sweetie wako niko kifungoni...ila niliipenda coz niliamini kuwa kweli darlin' wangu huwa hajibu pm za id zisizoeleweka... Umekumbuka?
 
Uligoma kujibu new PM yangu ilhali ulikuwa wajua fika kuwa sweetie wako niko kifungoni...ila niliipenda coz niliamini kuwa kweli darlin' wangu huwa hajibu pm za id zisizoeleweka... Umekumbuka?
Kheeeee kheeee Klorokwin atazimia
 
Mi niliapa sitorudia tena tumetoka out dahh maumivu kamanda kila anacho kiona anataka kununua akanikamua mpaka hela ya guest mm nataka nimpleke Guest zangu za uswazi za buku 5 self contained room yeye anang'ang'ania The Atrimius pale Sinza dahh na tuchukue tax mfukoni nimebakiwa na msimbazi aaah ikabidi niseme wazi tu sizitaki mbichi
Hela yote hiyo halaf ka gemu ka dakika tano tu kaget kali kanakwambia ukoo wao una marazi ya asthma daktari amemwambia ascheze kiduku zaidi ya dakika 20. In short hivi vigeti kali vinaleta global warming tu havina mpango wowote.
Mood: hapa nimeongea kwa hasira kweli
 
mmmmmmmmmmmmmh kaka???????????

smile vipi tena ndugu humtaki wifi wewe????muacheni baba tuli wangu jamani,love wasikusumbue kichwa hawa dada zako wa hiyari lol
 
Hela yote hiyo halaf ka gemu ka dakika tano tu kaget kali kanakwambia ukoo wao una marazi ya asthma daktari amemwambia ascheze kiduku zaidi ya dakika 20. In short hivi vigeti kali vinaleta global warming tu havina mpango wowote.
Mood: hapa nimeongea kwa hasira kweli

Kloro na Fidel mnachakachua siredi nitawaombea Ban kwa AshaDii
 
heheeh watoto wa geti michosho tu kamanda,wewe unaomba gemu wao wanataka muangalie tamsilia.

au yupo busy na Face book

388977_270404502995331_100000773500533_688639_200138491_n.jpg

Ukichungulia unakuta mzigo huo duhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom