Mr Rocky, i'm still waiting for my reply ama hujasoma huko nyuma?
Wee Rocky ulikua unamendea nini hapo chiini saa zooote hizi?? lol
Pole saana.... Uzuri samarry ni fupi... ni mtingo wa loving and feeling loved and loving on and on and on.... Hata hivo your better half ambae utampenda milele as per your say mzima??
She is perfect well dear
Naamini na wewe mzima
Naamini bado watu wanawapenda watu wao na hawaruki ruki nje huko kutafuta umaarufu