Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Baba Sharon hapo naona watafuta ugomvi....lol... Sijamuona Nyamayao siku nyingi kweli is she good??
Hata mimi simsomi huku muda...........we anzisha sredi za kiukauzu kauzu zile zake atatia timu kutoa darasa....mi nampenda Nyamayao bana ni zaidi ya kauzu
 
Nimeona mambo ya mama Tuli... Kuna post humu ndani navua miwani nikipita ili nisisome.....lol... Ok umenipoza... sis eeeh??

Pita kimya kimya wala usijibu wala usisome
Na sometime ukiona nageuka niambie bana
Ila sura nimeivaa kiaina na naukubali mziki wake
 
Hata mimi simsomi huku muda...........we anzisha sredi za kiukauzu kauzu zile zake atatia timu kutoa darasa....mi nampenda Nyamayao bana ni zaidi ya kauzu

Are you in Love with Nyamayao?? lol
 
Basi mambo yooote mwano! Subiri PM yangu na maelekezo yooote. lol
hehehe acha niandae listi yangu ya nitakaowatandika ban bila sababu ya msingi
Ubarikiwe Ashadii (source: Biharusi Miss Judith (itakuwa ana kaujauzito tu maana haonekani sku hizi))
 
Kamanda mm sasa hivi nimestaafu nimeridhika na wangu wa Tandale kwa Mtogole uswazi kutamu bana asikwambie mtu
heheh yep! uswazi ndo mpango mzima jibaba, wana vislogan vyao vya ajabu ajabu wanakwambiaga "zambi haihitaji kinga" unapewa raha kav bila woga aisee.
 
hehehe acha niandae listi yangu ya nitakaowatandika ban bila sababu ya msingi
Ubarikiwe Ashadii (source: Biharusi Miss Judith (itakuwa ana kaujauzito tu maana haonekani sku hizi))

Kuna PM alinitumia Mwita25 in relation na wewe with my ID... Nikutumie??
 
heheh yep! uswazi ndo mpango mzima jibaba, wana vislogan vyao vya ajabu ajabu wanakwambiaga "zambi haihitaji kinga" unapewa raha kav bila woga aisee.

Sasa siku hiyo umkute Hidaya Sura ya Kopo kakusanya mashostito wake kwenda kumsuta Nyangwende Ramadhani....heheheeee full burudani hapo kaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom