Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

heheh yep! uswazi ndo mpango mzima jibaba, wana vislogan vyao vya ajabu ajabu wanakwambiaga "zambi haihitaji kinga" unapewa raha kav bila woga aisee.

Hahaha mate yako tu yananogesha mpango mzima, mm uswazi sihami nimeshusha mabegi yote ya mapenzi huko.
Nimehama watoto wa geti, watoto wa chipsi kuku, watoto wa Bavaria, watoto wa Heineken
 
hehehe hapana bana, nimepazal alifikaje cafe wakati leo skumpitia kumpa lifti?
Hahahaha! Swahiba bana kwa kuyeyusha sikuwezi, si umwambie tu AshaDii kuwa You think your in love with me yaishe!. Maneno yako yanapingana na hizi PM ulizonitumia!
 
hehehe acha niandae listi yangu ya nitakaowatandika ban bila sababu ya msingi
Ubarikiwe Ashadii (source: Biharusi Miss Judith (itakuwa ana kaujauzito tu maana haonekani sku hizi))

Naomba Mungu nisiwe mmoja wao..............mimi penda jf sana
 
Sasa siku hiyo umkute Hidaya Sura ya Kopo kakusanya mashostito wake kwenda kumsuta Nyangwende Ramadhani....heheheeee full burudani hapo kaka.
Dah! soldier uko araund? msalimie kandambili bana! leta majina ya uswazi twende kazi kama kawa
 
Siasa sio nzuri usije ukawa kama Klorokkwin
Hahaha! Kumbe kloro siasa ndio zimemharibu hivyo? Daaah, laana hizo za kuwaambia vijana wa watu wanaota jua kama sola paneli ndio zinamuandama ujue! Afu nna kesi na wewe bana...
 
Hahahah huyu nyamayao wangu ananitosha nikizidisha wakawa wawili halafu wote ni type moja ni kipigo tu ntaambulia

Mbona wajichanganya??? Ulisema kua mkeo kauzu kama Nyamayao (as per your words) alafu saizi Nyamayao akutosha? lol.... C'mon Man!
 
Hahaha! Kumbe kloro siasa ndio zimemharibu hivyo? Daaah, laana hizo za kuwaambia vijana wa watu wanaota jua kama sola paneli ndio zinamuandama ujue! Afu nna kesi na wewe bana...

Karibu thupu ya ngisi
 
Hahaha! Kumbe kloro siasa ndio zimemharibu hivyo? Daaah, laana hizo za kuwaambia vijana wa watu wanaota jua kama sola paneli ndio zinamuandama ujue! Afu nna kesi na wewe bana...

Sweet "Sweet lady" hope leo your day was Sweet....
 
Hahaha! Kumbe kloro siasa ndio zimemharibu hivyo? Daaah, laana hizo za kuwaambia vijana wa watu wanaota jua kama sola paneli ndio zinamuandama ujue! Afu nna kesi na wewe bana...
Kesi gani tena sweet....
 
Hahaha mate yako tu yananogesha mpango mzima, mm uswazi sihami nimeshusha mabegi yote ya mapenzi huko.
Nimehama watoto wa geti, watoto wa chipsi kuku, watoto wa Bavaria, watoto wa Heineken
heheeh watoto wa geti michosho tu kamanda,wewe unaomba gemu wao wanataka muangalie tamsilia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom