Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by AshaDii, Nov 7, 2011.

 1. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Habari wapenzi woote wa hapa JF… Hopefully weekend hii ndefu na Eid ilikua pouwa... Hii thread ni a dedication kwa yalowakuta....lol... Enways....


  Naomba observe closely vipengele hivi kumi (10) vifuatavo…. Alafu baada ya hapo utaona na kufuata maelekezo hapo chini ili uweze kutupatia jibu – Zingatia kua mara nyingi hii ni kwa ile newly discovered and founded LOVE….. Thou to baadhi ya Lucky ones yawezekana hata ulonae mda Mrefu kukuweka katika baadhi ya hivo vipengele..

  1. Je unatabasamu kila saa bila sababu za msingi (in relation na mahala uliopo) i.e popote pale watabasamu…. Tabasamu kubwaaaa! Bila kujali uko wapi, umezungukwa na nani ama nini unafanya…. For instance mwingine aweza tabasaamu hata yupo uani yaani ile involuntary!
  2. Are you mumming kila saa ama mara kwa mara?? Unakuta kila mara yaani wee unajisikia kuimba; kawimbo Fulani Fulani kanakutawala mara kwa mara akilini, moyoni hadi mdomoni… Hako ka music ni from nowhere but kako stuck in your heart and brain!
  3. Roho inadunda with anticipation kila ukimuona mhusika…. Ama ukahisi his/her presence bila hata kugeuka kumuona.. ama ukiona kitu chake chochote ambacho kinakukumbusha the person in question… Yaani in short lazima mapigo ya moyo yabadilike anapokua karibu ama ukijua karibu atakua karibu…
  4. Huna raha usipomuona mda mrefu… hasa kama hujui ni wakati gani utamuona… Maana the good thing ya kujua wakati gani utamuona hata kama hayupo ni kwamba at least you have days/hours/minutes to count ukimsubiria kwa hamu na uvumilivu…..
  5. Je morali ya kufanya kazi imepungua?? Kazi unaona sasa ni mzigo… na ile siku zoote ilikua ni rahisi kwako unaona kama vile kubwaaa, nzito na yakuzingua tu! Hata ujitahidi kujituma ufanya mapema na within your deadline limits – bado kwako ni mtihani kumaliza hio kazi (labda tu on the condition ni lazima uimalize na una matumaini ya kumuona muhusika mda Fulani nje ya eneo la kazi); Na wakati mwingine kati kati ya kazi wajikuta umeduwaa mpaka wewe mwenyewe sometimes unajishtukia – then unaendelea na kazi kama kawa…. Thou kwa kujisukuma..
  6. Ukisikia jina lake ni lazima ushtuke!! Na utake kujua ni nini wanamuongelea huyo mhusika…. Beta yet unakuta watu wanamazungumzo yao hata kama nawe upo/haupo katka hayo mazungumzo unatafuta sababu yoyote ile ya kuingizia jina lake ama story yoyote ambayo mhusika yupo, ili tu upate excuse ya kumuongelea…. Maana ndo furaha yako, na ole wake atakae ongelea negative…. Hapo hapo anakua adui in a cold war mode…..
  7. Ukijua tu kua unaonana nae… ama atapita maeneo uliopo unahakikisha kua uko presentable… yaani kimavazi na muonekano, lazima utataka ujiangalie kwenye kioo ili tu kuhakikisha sura yako inaonekana pouwa (as if itakua imebadilika…lol) … Kama hutaki walo kuzunguka wakushtukie waweza jimwagia hata kinywaji makusudi, yaani ili mradi upate sababu ya kunyanyuka kwenda kujipanga uvutie pale wewe utaporidhika kua yastahili...
  8. Are you forever thinking about yaweza kuwaje kataka maswala ambayo ni related na faragha… i.e Kissing… touching… the naked body… na the like?? Yaani sometimes iko worse mpaka waweza pata wet dreams (saa ingine bila hata dreaming as in the imagination pekee ya kupeleka…) unahisi kabisa kua upo nae or that umefanikiwa kabisa kwenda third base na it was Great!
  9. Upo katika a more peaceful mood?? Mtu yeyote wa karibu nawe akikuudhi unaona sawa tu (hasa kama wee ni short temper) But hasira zoote zimeisha kabisa. Mtu kukuudhi afanye kazi ya ziada na hata ukiudhiwa wee mara moja unasamehe… Huna hiana…. Maisha kwako ni mazuri na hayatakiwi yachafuliwe kwa hasira…. After all you are happy and content…
  10. You feel like you are no longer you… you feel lost… you feel helpless… hasa ukijua na kuhakikishiwa kua kile ambacho unataka kiwe kwa mhusika…. Yaani hayo mahusiano you are dreaming of….. Hayawezekani!

  Katika the above ten, kama umeobserve kwa Makini na Umeelewa na the answer is “YES” to all or not less than seven atleast…. Then rafiki…. Please do declare to us Members kwamba “I think I am in LOVE” and Thank God it’s Eid!
  (Na kama ushawahi pitia hio phase, at least you were in Love once…..)

  Naamini kabisa kuna mengi nimeacha hivo nitaomba members wenzangu wanisaidie kwa kuongeza mengine na kujadili niloweka hapa kama mwakubaliana nayo ama Lah!


  Pamoja Saaana

  AshaDii.  (I love this Love related quote)
  “I have loved to the point of Madness,
  That which is called madness,
  That which to me is the only sensible way to Love” – F. Sagan.
   
 2. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  "I think I am in LOVE" and Thank God it's Eid!
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180  .......lol...... That is really good Chauro.... naruhusiwa kuuliza ni nani?? lol
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Comments reserved.....
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,030
  Trophy Points: 280
  Yaani leo ndo nimegundua shem..

  Kumbe am in love with you......Yes, you AshaDii!

  Khaa!
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mhhh i was in Love and I am in love and i will be in love to the one and special One forever
  Did I say so ................lol
   
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Babu umeamka na hangover ya Eid au vipi
  Au hujaharibiwa reception siku nyingi
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  C'mon Man!!! Upen up!!
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,030
  Trophy Points: 280
  Kama ni kung'olewa meno niko tayari....

  Narudia tena, Am in love with my darling shem.... Yes I've just said it......... And I mean it?:focus:
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  NO!! Hapa Shem wangu wa UKWELI umechanganya mambo....
  I know you love me, But hapa twazungumzia being in love....
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  This used to happen to me a lot, hii kitu mbaya sana aisee yaani hata ukiona details ndogo kuhusiana na huyo mtu yaani roho ghafla inaanza kudunda as if mtu umeshtakiwa kwa kesi ya mauaji....lol!!!
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Thats what i Like to hear... No wonder the Avatar ya Cannon.....
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  I see you see what i mean.... Who was the Lucky Lady....lol (sijui niseme unnlucky maana PA mmmh!)
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  Mhhh napita tuu hapa sijaona hii comment
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  aaaiiiiseee!!!! :hatari:
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,030
  Trophy Points: 280
  Bieng in love?...... to me is when am in love with you, Yes, you my darling shem!!!
   
 17. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Haha dada mmiliki ......kama ni masikio na macho kashika hasaa.

   
 18. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  Thank you
  Yaani it happen unaposikia au unapokuwa mbali nae au unaposikia lolote kumhusu moyo unakuruka kwa sababu unampenda
  So to say it again nampenda na nitampenda as long as maisha ninayo
   
 19. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  “I think I am NOT in LOVE” and Thank God it’s Eid!
   
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  PA sometime inabidi ufukie mashimo na kukubaliana na hali halisi
  Maana huwezi kupigana na wakati every time
  We tatizo unapenda wengi na hutaki kuushinda moyo wako kusema kuwa huyu ndo ninayempenda kwa dhati
   
Loading...