Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Halafu mie nalipenda kweli hilo jina la Roulette, mwenyewe angejua na avatar yake nikiiangaliaga........huwa vinanikosha kweli coz najua hapo lazima nikutane na post ya ukweli dah!!!
Oooh, thanks Kipipi. Kweli nitamuomba mkuu Invisible anisaidie kufupisha hili jina, libaki Roulette....
 
On a special day like Valentine ya Kesho if you have these feelings... Tumia hii nafasi kujilipua.... Happy Valentine people....:A S-heart-2:
 
Wakati mwingine ukisikia jina hata kama si yeye ili mradi linafanana na lake tu inakuwa ni taabu japo nina zaidi ya miaka ya kutosha upwekeni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom