Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

hata mimi nakushjauri ivo loh
waraka mwingine bana
au shem wetu anavuta jani loh? ahahaaaa siamini macho yangu pole babu.
ila kumbuka amri za mungu usitamani mke wa jirani yako bwana SIR GOD mwenyewe aliliona hilo lloh
Hebu msome na hapa chini............. waweza kuja PM huku unifariji?

"Sijawahi kukupenda....kwa nini nikuchukie?"......Think hommie think....
 
Najua moto utawakaaa......ww unaulizia mwenzio kaenda wapi na ww jana ulivyoingia mitini!!!una deni langu,mm na ww mpaka kieleweke.

La jana si nimekuambia bado tupo pamoja nitalijibu
We wasi wasi wako wa nini
Smile asikutoe lpresha bana
 
wajameni, naomab kuuliza, Sweetlady yuko wapi?
Nipo kaka mpendwa, nimebanwa kidogo na huu ugeni toka kwa kameruni, hapa tulikuwa na kikao twajiuliza tusign au tusi sign, nitahitaji mchango wa mawazo yako baadae kidogo!

Kuhusu mada I think am in LOVE with TF manake kila nikisoma post zake mapigo ya moyo yanaongeza kasi!..lol..

Weye mzima kabisa?
 
topic closed
 
You know, I've been around this block for a while and I've kinda developed a sixth sense...teh teh teh!

I know, I know...it's just a feeling so don't start asking me for proof and whatnot.

Mmhh.....i smell sthing Kevin A, NN, Ally wa......mmmmhhhhh haya weeee
 
DA nimefanyaje tena
Mbona nimewaletea mpaka wimbo mzuri sana hapo hata hujanipa like bana
Mi sichakachui siredi bana

Hiyo acha uongo wewe.

Nimekugongea like umeiona?? Hujambo wewe lakini ngoja tuchakachue kieleweke basi
 
Hiyo acha uongo wewe.

Nimekugongea like umeiona?? Hujambo wewe lakini ngoja tuchakachue kieleweke basi

Sijambo dear niko salama kabisa
Duh itabidi nipunguze kuchakachua siredi za watu wasije wakanianzishia topic bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom