Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,121
- 136,875
KANNAK hapa umeniacha kidogo,nani sasa kopo la chooni...lol
Teh teh teh...usijali sana...msaga sumu kazi yangu kutoa dozi.
KANNAK hapa umeniacha kidogo,nani sasa kopo la chooni...lol
yamshinde nani ? nipo nawaona
KANNAK hapa umeniacha kidogo,nani sasa kopo la chooni...lol
Nilikuwa nategemea ugeuke uwe kama mnara wa babeli kabisa
Sweetlady....
Si niliisha kwambia mambo ya siasa uachane nayo kwanini hausikii lakini??Yes darlin', am here for you baby nani mchokozi?
hehehe hapana bana, nimepazal alifikaje cafe wakati leo skumpitia kumpa lifti?hapa ni ku-love tu.... Sasa mbona hapo chini umenishangaza?? lol... Kumbe roho inadundia hapo??
napita tu hapasi niliisha kwambia mambo ya siasa uachane nayo kwanini hausikii lakini??
Hahahaha!!! Arifu banaa ukijumlisha na hiyo sauti ya Khia the song sets the mood rightAisee leo nimeukumbuka sana huu wimbo! Although it's a one hit wonder but I still like it in a funny kinda way. Mama Tuli unaukumbuka huu?
Khia - My Neck, My Back (HQ / Dirty) - YouTube