I want to change the pace, hearts were never meant to race, can love take us now we've been so far down??
To TF ...............................................Mzuri kwako hajazaliwa subiri mwaka kesho lol
I want to change the pace, hearts were never meant to race, can love take us now we've been so far down??
Mhhhh nilikuambia usubiri kwanza nitakujibu private au hujanipata
Hujambo lakini
Naendelea kusubiri lakini isiwe habari ya Ad na NN....mm niko gado.
No no no it will never be
I will inform you in due time
Asante sana kwa uzima wako
mmmh tf bana loooooooooooh?Nipo aise
Miss u sana sana
Naona TF anapiga misele hapa sijui kama hajateleza huko njiani
mmmh tf bana loooooooooooh?
mama tuli anasubiri pm yako mkuu mbona hatuambizani kama umekuwa baba tuli siku hz jamani loh
kwani wewe wajua mimi ni nani?
Sema naye huyo anayekusumbua kabla wakati haujapita. Na hasa atakapotoka na mtu wako wa karibu ambaye hukuwahi mweleza you had a crash on that man.
Si unajua wanawake tuna zile za "He is just a friend" Mara rafiki yako anafanya kweli unaanza moods zisizo na kichwa wala miguu. Sijui kama unanipata hapa. In short, sema naye.
Shem ADI na wote wenye mapenzi mema,
Naoma kuuliza:
Hivi waweza kumchukia mtu unayempenda?
ahahaaa nilikuwa namlike akanizingua mara sweetlady mara afrodenz mimi nishapata mwingine jana ujue kuna msemo katika malove unasemaThe saddest love is to love someone, to know that they still want you, but the circumstances dont let you have them. think big???/Sema naye huyo anayekusumbua kabla wakati haujapita. Na hasa atakapotoka na mtu wako wa karibu ambaye hukuwahi mweleza you had a crash on that man.
Si unajua wanawake tuna zile za "He is just a friend" Mara rafiki yako anafanya kweli unaanza moods zisizo na kichwa wala miguu. Sijui kama unanipata hapa. In short, sema naye.
mmmh tf bana loooooooooooh?
mama tuli anasubiri pm yako mkuu mbona hatuambizani kama umekuwa baba tuli siku hz jamani loh
hahaha... With this infor.. Am curious as in why you have not nailed HIM down...lol
Vp tena smile mbona unataka kujua mambo ya bedroom...lol
huyo ni kaka yangu wa heshima hapa jf i treat and love him as my blood brother kama wewe ndo yule tumtarajiae niambie tu jamani lohVp tena smile mbona unataka kujua mambo ya bedroom...lol
Oohh!!!! Come Onahahaaa nilikuwa namlike akanizingua mara sweetlady mara afrodenz mimi nishapata mwingine jana ujue kuna msemo katika malove unasemaThe saddest love is to love someone, to know that they still want you, but the circumstances don't let you have them." think big???/
huyo ni kaka yangu wa heshima hapa jf i treat and love him as my blood brother kama wewe ndo yule tumtarajiae niambie tu jamani loh
huyo ni kaka yangu wa heshima hapa jf i treat and love him as my blood brother kama wewe ndo yule tumtarajiae niambie tu jamani loh
am free bro?Wou i like that
Thank you Smile
Nitanenepa na kuongezeka kilo tano leo
The truth will always set you free
Hahahaaaa umtarajiae(nice word) bado hajampata,utatambulishwa tu usijali....he's still searching u can help him if you wish.
mmmmmmmmmmmh..........Oohh!!!! Come On