Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Lol....yeah,why??? Nini kimeshtua Kevin?

You know, I've been around this block for a while and I've kinda developed a sixth sense...teh teh teh!

I know, I know...it's just a feeling so don't start asking me for proof and whatnot.
 
the trouble 4 me the only I have ever loved dearly is my Creator apart from myself...........or the creatures from my own toil...........
 
ashadii mambo?...

naona ulisahau kuweka coloured and bolded font kwenye thread na post zako zote....!napenda sana hayo marangi ya purple
 
ha haaa i dont know where to start.....
perhaps the best quote was 'all is fair in love and war' lol....

Kongosho will come around....the game is for her to win or lose ..lol....

Should I hate U for this or like U more? Ngoja nikajisomee kwanza
 
Hiyo inaweza kuwa valid so long as kajikunyanta nayeye anasubiria sehemu flani aone kama atapewa za mbavu!! Lol!

Kipipi kumbe you know alafu wanitega eeeh?? lol
 
Ukishapita probation, no kuanza tu kumchanganyia habari, anakutuma kutoa photocopy, unashred mkataba. Anakutuma umtengenezee chai unaiwekea pilipili mbuzi. Everyone has something bad or good.

Kongosho una nia na hio kazi kweli.... Me am thinking the Best strategy is to be at your best, make sure you are the best eva and then at the end of the probation knowing full well the want full and permanent employment... You let go saying "it is not the best place for me" au sio?? lol
 
the trouble 4 me the only I have ever loved dearly is my Creator apart from myself...........or the creatures from my own toil...........

Nice one Rutashubanyuma.... PRAISE the Lord!!!
 
Mr Rocky, i'm still waiting for my reply ama hujasoma huko nyuma?

Mhhhh nilikuambia usubiri kwanza nitakujibu private au hujanipata
Hujambo lakini

Wee Rocky ulikua unamendea nini hapo chiini saa zooote hizi?? lol

Wapi aise niliondoka kidogo nakuta siredi iko page ya 20
Halafu dogo PA nikamuomba asummarize kaingia mtini hajanijibu
 
ashadii mambo?...

naona ulisahau kuweka coloured and bolded font kwenye thread na post zako zote....!napenda sana hayo marangi ya purple

Teamo habari yako bana.... Safari hii nimetumia qoutes zako nyingi naona zimenifaa saana....lol... i.e "Let love lead the way" NA "To love and Feel loved".... i am just hoping zinaruhusiwa kurushwa once in a while... Post yako hii nimeweka purple spesheli kabisa ufurahi....
 
Haaa nilikuwa wapi mpaka hii Topic iko 29 sijui nianzie wapi tena? morning AD ?

First Lady morning dearest.... Hopefully umeamka mswano kabisa... Nakushauri anza kwa kusema if you are in Love......
 
Shem ADI,

Nimekutumia sms kukusalimu naona hujanijibu.

Ngoja nikusalimie kwa hapa......... Habari ya asubuhi shem wangu mpenzi? Usiku ulilala salama? Ulikuwa na ndoto tamu?
 
Wapi aise niliondoka kidogo nakuta siredi iko page ya 20
Halafu dogo PA nikamuomba asummarize kaingia mtini hajanijibu

Pole saana.... Uzuri samarry ni fupi... ni mtingo wa loving and feeling loved and loving on and on and on.... Hata hivo your better half ambae utampenda milele as per your say mzima??
 
Shem ADI,

Nimekutumia sms kukusalimu naona hujanijibu.

Ngoja nikusalimie kwa hapa......... Habari ya asubuhi shem wangu mpenzi? Usiku ulilala salama? Ulikuwa na ndoto tamu?

Shem simu niliweka silent mode nilisahau kuactivate mlio.... Nimeisoma na kujibu pia... Sasa basi hamna lililo haribika.... Mie ni mzima wa afya, nimelala salama na the ndoto.... it was Marvelous.... lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom