Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Unajua Dada,huwa najiuliza swali,unapokuwa kwenye mahusiano kuna wakati unatakiwa ufanye maamuzi magumu kwenye wakati mgumu kama mgombea wa urais wa Marekani kwenye series ya 24,David Palmer alipotofautiana na mke wake Shery Palmer huku akijua anaweza kukosa urais,simhan katika hali halisi na ndoa zetu kama yupo anaeweza kufanya hayo!
 
Shem ADI na wote wenye mapenzi mema,

Naoma kuuliza:

Hivi waweza kumchukia mtu unayempenda?

Shem watapo jibu wengine angalau wawili hivi nami nitatoa jibu langu.....
 
Sweetie AshaDii,

I am more than humbled for this post...amazed....how truthfully you could express our feelings....mutual feelings in this way!

Thanks darling....thanks...

Nikishasema hayo....huyu Hommie wangu namuona ona saaana hapa.....ndo anasubiri nife akurithi? Sifi Ng'o!
 
Unajua Dada,huwa najiuliza swali,unapokuwa kwenye mahusiano kuna wakati unatakiwa ufanye maamuzi magumu kwenye wakati mgumu kama mgombea wa urais wa Marekani kwenye series ya 24,David Palmer alipotofautiana na mke wake Shery Palmer huku akijua anaweza kukosa urais,simhan katika hali halisi na ndoa zetu kama yupo anaeweza kufanya hayo!

Naomba nieleweshe Eiyer... kufanya yepi exactly??
 
A girl and a guy can be just friends, but at one point or another they will fall for each other... maybe temporarily, maybe at the wrong time, maybe too late, or maybe forever.......................................................

Hivi, samahani wewe ndo SMILES ama tumtarajie mwingine?
 
Sweetie AshaDii,

I am more than humbled for this post...amazed....how truthfully you could express our feelings....mutual feelings in this way!

Thanks darling....thanks...

Nikishasema hayo....huyu Hommie wangu namuona ona saaana hapa.....ndo anasubiri nife akurithi? Sifi Ng'o!

Love... I am short of words... I guess "I LOVE U" Will do for now......
 
Usifikiri nazungumzia kuwa kuna mgombea wa urais wa halisi wa Marekani kafanya hayo maamuzi magumu la hasha!Bali nazungumzia action aliyoifanya David Palmer ndani ya series ya 24 ya kumwacha mkewe baada ya kutofautiana kwenye mambo mengi,huku akiwa kwenye nafash kubwa ya kushinda urais,sasa kile alichokifanya pamoja na situation ya uchaguzi kuna anaeweza kufanya hayo?
 
Can i take you out for dinner tonight???
Me? I'm scared of everything. I'm scared of what I feel, of what I've said, of who I am, but most of all I'm scared the way I feel when I'm with you.....................................................loh
 
Hivi, samahani wewe ndo SMILES ama tumtarajie mwingine?
watatokea wengi kwa jina langu lakini msiwaamini hao,amin amin nawaambieni .........................................
 
A girl and a guy can be just friends, but at one point or another they will fall for each other... maybe temporarily, maybe at the wrong time, maybe too late, or maybe forever.......................................................

Tafakari, Chukua hatua mapema. Siku hizi majuto si mjukuu tena ni mume.
 
Umemuona sasa yeye alivo mjanja.... Kwa wenzie ni mbanaji hakuna mfano!! Wee ngoja tu mie naona ile dawa yake tumpe maana kisha pona hakuuna huruma hapa!!

Anajua kweli kubana na kuuulizia ya wenziwe ila ya kwake anajua kuyaficha sana
Ila mtengenezee ile dawa aise apone atuambie mambo yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom