Dada yetu Michelle

mgao wa umeme dawa yake nokia tochi yenye internet. pole sana, u were missed really. ngoja dodi al fayed (husninyo) aje,atajitolea kukununulia manake hapo kwa kloro umeangukia pua!
Asante sana Lokissa kwa kunikumbuka, ni kweli nimekuwa siingii JF kwa muda sasa kutokana na majukumu kunizidi na pia mgao wa umeme. Ila namshukuru Mungu naendelea vizuri na ni mzima. Ninawakosa sana wana JF na JF kwa ujumla. mambo yakitulia nitarudi kama mwanzo na tutazidi kushiriki hoja na mijadala mbalimbali hapa.
Mungu Awabariki, Tuko Pamoja.
 
klorokwini una visa visivoisha, shauri yako mwenye hati miliki akikukamata ndio utajua kama fansida haitibu malaria.huo urafiki wa kalamu usio rasmi hatujaufahamu bado,weka mambo hadharani vijana tujipige pige mfukoni kukufanikishia azma yako kama mmedhamiria.
 
no son of mine is a heart breaker husn..... mje nyumbani kesho kwa chakula cha mwili usiku. afu mmeshinda lottery mie naskia kwenye media,mtakuta list ya matatizo yetu ila mkija na ka ford ranger station wagon tutaanzia hapo

hahahahaha mkwe ndio maana nakupenda. Lol!
Ila stp son wako tangu ashinde bado anatengeneza heshima bar. Ngoja nikuandalie fungu la shida ndogo ndogo. Lol.
 
hizo nguo za nini? kwanza hata kazi yake haijulikani,muache apunge upepo. naskia zinasababisha ugumba? (haijathibitishwa rasmi pia)
heheeh hela ya mavuno ya korosho ya salanga yote kwishney!
inasemekana Salanga kahama mji bila nguo za ndani (haijathibitishwa rasmi)
 
angalia binadamu sio wema mkwe. na huyu kloro huwa anasababisha usugu (wa malaria)
mkwe naomba niendelee kumsaidia saidia klorokwini maana tunaweza tusimuone jf kabisa.
.

mkwe nakungojea kwa hamu. usisahau hiyo gari amanke haka kavitz nilihongwa mwaka 47 na mkweo kako hoii
hahahahaha mkwe ndio maana nakupenda. Lol!
Ila stp son wako tangu ashinde bado anatengeneza heshima bar. Ngoja nikuandalie fungu la shida ndogo ndogo. Lol.
 
muache ajidai banaa, unajua bila hela za msaada rais wako angevaa masulupwete?
(afu husn hela za mwanangu utamaliza kwa kusaidia mashostito!)
Hahahaha! King'asti miye simo!..lol..unamaanisha wakati mwingine misaada ni mizuri eeh?... Ukinionea kloro mwambie ancheki nimpeleke akachague suti,..malipo juu yangu!
 
hehehe,misaada ina raha yake banaa,unachagua ya bei ya juu kuliko zote,lol!
shida ya kloro atakuambia suti anazo ila kuna kitu anataka. ntampa ujumbe lakini. sasa nije nae uninunulie viatu?
Hahahaha! King'asti miye simo!..lol..unamaanisha wakati mwingine misaada ni mizuri eeh?... Ukinionea kloro mwambie ancheki nimpeleke akachague suti,..malipo juu yangu!
 
subiria quotation, ila andaa dollar pound (hii ni currency mpya ya updp) manake nataka nikatoe tafu igunga
unataka na zingine unaanzisha jeshi?

Nina tenda Libya NTC wameishiwa kabisa na hizo kitu, mie yakwangu nishaiuza...Usihofu maliopo ni kwa fedha ulizozitaja hapo juu tena cash.
 
hizo nguo za nini? kwanza hata kazi yake haijulikani,muache apunge upepo. naskia zinasababisha ugumba? (haijathibitishwa rasmi pia)
Dah! umechumbiwa na Dr Riwa nini?

Tehe, tehee! Umfowadie pia na za wale uliokuwa unawatongoza!.. Haki sawa!
Khaaa! tusiwasingizie watumishi wa mungu jamani

Hahahaha! King'asti miye simo!..lol..unamaanisha wakati mwingine misaada ni mizuri eeh?... Ukinionea kloro mwambie ancheki nimpeleke akachague suti,..malipo juu yangu!
Sweetlady bana! ile biashara yako kuuza mawigi kutoka msumbiji inaendeleaje?
 
hahahahaha mkwe ndio maana nakupenda. Lol!
Ila stp son wako tangu ashinde bado anatengeneza heshima bar. Ngoja nikuandalie fungu la shida ndogo ndogo. Lol.
sweety kwa kudeka bana,lakini ndio nachokupendea mwanamke lazima aringe kidogo na pozi kwa mbali,kuhusu bar si uliniambia niongee na anko wako naye p.o.box au physical address yake si bar ?
 
Back
Top Bottom