nasikia kaolewa na bujibuji na sasa wako zambia kushuhudia kuapishwa kwa satta
Huyu dada ni mai waifu kwasasa na nimempiga ban kuingia JF.
kama kuna michango yoyote ya hela inayomuhusu yeye iwasilisheni kwangu.
Huyu dada ni mai waifu kwasasa na nimempiga ban kuingia JF.
kama kuna michango yoyote ya hela inayomuhusu yeye iwasilisheni kwangu.
Khaaaa!What if ni Ashadii au klorokwin?
Mkuu hauamini? JF ukiijulia unapata waifu na nyumba ndogo humuhumu. Usibishe!we nae kwa misifa hujambo.
Biharusi hadaiwi bana! wee wa wapi?, Ustuharibie honeymoon yetuhahahaha! Mi nilikuwa namdai. Mlipie.