Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,446
- 2,490
wanaJF ni ukweli usiopingika kuwa adada yeetu huyu alikuwa mfano wa kuigwa kama walivo wengine ktk hili jukwaa hasa kwa mada na uchangiaji wake, kwa muda sasa haonekani ktk hili jukwaa, mwenye kufahamu habari zake atujuze, kwani kama yuko tz mitandao imejaa hadi vijijini na moderm sasa hata kwa sh 20 alfu unapata, nimepata mashaka kama ni mzima au lah. hilo tu wapendwa wekend njema.