Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?

Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.

Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.

Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado. Anasema nataka unipe lift mi gari leo imekataa kuwaka..

Yaani nitoke Mbezi Makonde, niende Tabata Kifulu nimpitie nimpeleke Posta Town. Kisha niende kazini kwangu Mikocheni.

Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.
Sio kama hana akili,hawa ni wabinafsi by nature...
 
Waswahili wanasema ni PIPA na MFUNIKO.Asingekwambia kama angeona huwezi.Unaweza.
 
Hapo shida siyo kukosa akili tu, bali ni ubinafsi uliopitiliza. Yeye anaangalia shida yake tu ipate utatuzi, hafikirii kabisa gharama na usumbufu atakaopata mwenzake. Hana huruma na muda wako kabisa.
Huwenda kipindi anavizia potassium alikuwa anafanya hivyo, na wengi huwa wanaifungia safari kabisa mpqka unabaki kumshangaa, sasa sijaona maajabu hapo mpaka huyo dada kumtafuta yeye means wanajuana!
 
Ni kweli kabisa connection ipo na ndiyo maana amemcheki ila pia kumwomba mtu mzigo wa namna hiyo ni ubinafsi, it's highly impractical hata kama ni mtu wako wa karibu Seran.
 
Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?

Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.

Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.

Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado. Anasema nataka unipe lift mi gari leo imekataa kuwaka..

Yaani nitoke Mbezi Makonde, niende Tabata Kifulu nimpitie nimpeleke Posta Town. Kisha niende kazini kwangu Mikocheni.

Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.
Wewe ndio hujatumia akili kwenye hili, mwanamke wako amekuambia gari limekataa kuwaka na umpe lifti, na wewe unaishi nae mbali, hujiongezi anataka ufanyeje, kwani yeye hajui kama unakaa mbezi na yeye yuko Tabata.....
 
Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?

Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.

Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.

Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado. Anasema nataka unipe lift mi gari leo imekataa kuwaka..

Yaani nitoke Mbezi Makonde, niende Tabata Kifulu nimpitie nimpeleke Posta Town. Kisha niende kazini kwangu Mikocheni.

Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.
Ila wewe ukiwa na tatizo wakati yupo jirani, atakueleza kwanini usichukue bolt
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom