Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,329
- 23,260
Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?
Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.
Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.
Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado. Anasema nataka unipe lift mi gari leo imekataa kuwaka..
Yaani nitoke Mbezi Makonde, niende Tabata Kifulu nimpitie nimpeleke Posta Town. Kisha niende kazini kwangu Mikocheni.
Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.