mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Usiku mwemaIndeed ananhifadhigi sana na mm ngoja nmute ndo mana sijamwuliza kitu
Usiku mwemaIndeed ananhifadhigi sana na mm ngoja nmute ndo mana sijamwuliza kitu
Na we piaUsiku mwema
Aya mkuuKesho bro wacha niwakimbie
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Na we pia
[emoji3][emoji3][emoji12][emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bhanaaaaa pouwaaaaa......mi huwa sipendi kuwa muongo...... Wakati naingia jf nilivyoionaa hiyo avatar yko nilianzisha na thread kbs nikasemsjee.......dah kuna picha nimeiona huku moyo ukapigaaa paaa ila sikuielezeeeAaa chochotee . ......[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Dadeki ,zali la mentali arifu ...ngoja nitoe hii picha ya Bob naonekana mvuta bangi bure
....ataruriwa hata kabla ya kushuka kwenye basi.... Ekebhombo..!!!Usifike kabisa mkuu....
Point well noted.Teh haha.
Direct sijawahi ila huwa najenga urafiki baadae tunajikuta ni wapenzi.
Zimeisha, zimebaki bangi pekee. Vipi nikuletee?Popcorn zinauzwa wapi, niko siti ya mbele kabisa
Mi nilimzima Lincoln mkaka yule ni fireeeeee nilikuwa naumia akipigwa au alivyogeuzwa kuwa mtu wa ajabu ,alicyokuja pigwa risasi nililiaa aisee,nilitamani awe hadi mwisho wa movie,,,hiyo series ina visa jamani halaf eti tuangalie bongo muvi ili iwejeHaha.. yes kama umeangalia The 100 kuna yule mtoto anaitwa Raven jina halisi lindsey Morgan. Haha haya bwana
[emoji38][emoji38] yaani umeumia mwsho ukaamua kulia kabsaaa. izi movie izi.Mi nilimzima Lincoln mkaka yule ni fireeeeee nilikuwa naumia akipigwa au alivyogeuzwa kuwa mtu wa ajabu ,alicyokuja pigwa risasi nililiaa aisee,nilitamani awe hadi mwisho wa movie,,,hiyo series ina visa jamani halaf eti tuangalie bongo muvi ili iweje