mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Kakaako amekaangwa lakini hajaiva... Mgumu ile mbaya!Aisee ngoja sasa nirudi nisome kikaango kinahusiana na nn nikutwange swali mana nimekimbilia tu kucoment
Kakaako amekaangwa lakini hajaiva... Mgumu ile mbaya!Aisee ngoja sasa nirudi nisome kikaango kinahusiana na nn nikutwange swali mana nimekimbilia tu kucoment
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hapa ni kufurahi tu Jovitha kama nimekukwaza samahani
Mkuu mbona nimeiva vizuri tuuKakaako amekaangwa lakini hajaiva... Mgumu ile mbaya!
Dadeki tukomesheni tu sie tusiojua hiyo Lugha..Shee? Iye ena Kasie enake enkai tung'an?
Hayuko huru eehh?? Anajua atapoteza makoloni yake humuKakaako amekaangwa lakini hajaiva... Mgumu ile mbaya!
Osotua notomononi [emoji4]
Una mawifi wangapiHayuko huru eehh?? Anajua atapoteza makoloni yake humu
Cc shunie
kuna maswali yangu kakwepa ila nimemuelewa baba angu mdogo hajataka kujiharibiaHayuko huru eehh?? Anajua atapoteza makoloni yake humu
Cc shunie
Mamdogo hauniamini tehnakuna maswali yangu kakwepa ila nimemuelewa baba angu mdogo hajataka kujiharibia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dhaa sjui lini na mimi nitakuwa na jina kubwa hapa JamiiForums na mimi nianzishiwe sredi kama Daby em STUNTER fanya akitoka Daby nifuate mimi kuhojiwa
Hawahesabiki kwa kweliUna mawifi wangapi
[emoji3][emoji3][emoji12][emoji12]Epae nganasha
Hehehe nilijua tu..ndo mana mm nimekuja kukomenti tu huku sijahangaika kusoma ya nyumakuna maswali yangu kakwepa ila nimemuelewa baba angu mdogo hajataka kujiharibia
Yupo smart ameruka vihunzi kwa umakini uliotukukakuna maswali yangu kakwepa ila nimemuelewa baba angu mdogo hajataka kujiharibia
SanaaYupo smart ameruka vihunzi kwa umakini uliotukuka
acha tu kafukia fukia vituHehehe nilijua tu..ndo mana mm nimekuja kukomenti tu huku sijahangaika kusoma ya nyuma
bamdogo nakuamini sana jamaanMamdogo hauniamini tehna
Haha unamaanisha nini mwana Mu!Uzi mwingine ukiona jina tu unafurahi