Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ka mjadala kako vzr niko mubashara hapa Cc Daby
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ka mjadala kako vzr niko mubashara hapa Cc Daby
Vizuri sana na hongera kwa kuwa makini lakini nilimaanisha mazingira ya physical( kimaeneo) mf barabarabi, ndani ya daladala n.kMazingira ya [kukurupuka] hili lipo saana kwa wenzetu whites sometimes mnaweza mkawa mmezoeana kidogo ukahisi amekupenda kumbe ni lifestyle lao..
Au hata TZ mwanamke anakuchekea mara mbili basi ùnasema oyoo hapahpa kumbe wala hakuwaziii. Huwa nakuwa care saana brother.
Teh haha.Ulishawahi kutongoza kupitia mitandao ya kijamii? Je ulishawahi kubahatika kupata mpenzi
hukosekani kwenye vigodoro kama hiviiiAaaah mm tena
Kikawaida kutongozea njiani barabarani nilipokuwa chalii kwa umri huu ni Vigumu mkuu.Vizuri sana na hongera kwa kuwa makini lakini nilimaanisha mazingira ya physical( kimaeneo) mf barabarabi, ndani ya daladala n.k
Huku kanda maalum jina lako lina ukakasi kidogo...Ngoja ni subscribe huu uzi
[emoji3][emoji3] nawaonaKa mjadala kako vzr niko mubashara hapa Cc Daby
Daby ukimaliza kujibu hayo maswali uje utuambie kama umeachana na yule mtoto wa jirani
Nikikosekana Bahati mbyhukosekani kwenye vigodoro kama hiviii
Mkuu Mimi huko hata sijawahi fika,ni jina la kawaida huku kwetu Mkwajuni SongweHuku kanda maalum jina lako lina ukakasi kidogo...
Kuna maswali mengine ukiyajibu unaonekana unajisifia.Uliichukulia kama ni zali au kawaida? Na je huyo mwanamke ulimchukuliaje? Na je mlifanikiwa kuwa wapenzi?
Uko smart broUlishawahi kutongoza kupitia mitandao ya kijamii? Je ulishawahi kubahatika kupata mpenzi
Huyo ndio mumeo siku hizi????Mkuu vipi? Uliachwa na Dabby?
Usifike kabisa mkuu....Mkuu Mimi huko hata sijawahi fika,ni jina la kawaida huku kwetu Mkwajuni Songwe
Tunaonana vizuri tu na life linasonga. Sijawahi kuogopa labda yeye aamue kuquit ila pia nakuwaga makini.Vipi mahusiano yenu, je mlikuja kuonana live live au mlipeana talaka kabla hata hamjaonana?
Hamna nafwatilia vizuri sana mtanange mkuuShida ni nn man,,,,,toroka kwanza halafu urudi baadae