Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,281
KumbeeTeh haha.
Direct sijawahi ila huwa najenga urafiki baadae tunajikuta ni wapenzi.
KumbeeTeh haha.
Direct sijawahi ila huwa najenga urafiki baadae tunajikuta ni wapenzi.
Hahhaha... Daby umesikia huko?
Mamdogo haujamboKumbee
Naamini sijawaangusha mkuu buva hahahDaby humu jamvni tumempa title kubwa kutuwakilisha wanaume wote so usituangushe bana mkuu
Tutashindwa kukuita au kukutambulisha.Kwa nini mkuu
[emoji87] [emoji87] dah basi mkuu ngoja nije na ID fake tuTutashindwa kukuita au kukutambulisha.
hapa ndio ninapokupendea bamdogo anguHaha... naamini sijawahi mvutia yeyote kwa zawadi ila huwa zinakuwa catalyst.
Ok nilipokuw chuo kuna mtoto mmoja nilimpenda nikaanza kumfuatilia kabla sijamwambia lolote akaibiwa Tab na pesa wakati yupo mjini na hakuniambia lakini kupitia marafiki zake nikajua.. nilijiongeza vya kutosha ila sidhani kama alinikubalia kwa hiyo zawadi.
Zawadi zipo nyingi Ila hauwezi amini wanawake ukiwanunulia vitu vya kawaida huwa wanafurahi saana G-strings, hereni,mikoba n.k
shikamoo manga leo naona haujawahi kulalaViipi?
Haha... naamini hata mtu akikuzidi siku amekuzidi umri..jibu ni ndiyoSwali kwa daby..je umewahi fanya mapenzi na mtu aliyekuzidi umri?
Mahabaaa leo nakesha nilikuambiashikamoo manga leo naona haujawahi kulala
AsanteeeeTunavyokosea ni ving tu
1. Uwongo/kuigiza. Kama wewe ni Daby be Daby utapendwa na udaby wako usiigize maisha hii kwa wote ke/me.
2. Ligi yako. Wewe unajijua ligi yako ndogo unaenda kutongoza demu wa ligi soo lazima ulie tongoza mtu wa kiwango chako.
3.uvumilivu na tamaa kuna watoto wanahitaji uvumilivu sio haraka haraka tu.
Aseeh, huwa siwezi kuvaa ming'ao na mimi sio mtu wa kuruka na fashion sijui mi lucci na garbana nipo simple.