Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Ni Vigumu saana kuelezea picha ya muonekano iliyopo ndani ya hisia zangu maana unaweza kushangaa x wako alikuwa bonge wa sasa hivi model .. ila kwa ufupi muonekano wa kawaida sio bonge sio mwembamba
Ooh sasa huwa unatekwa au kutamanishwa na demu ambaye amevaaje?
Au mwenye muonekano gani?
Vipi kuhusu rangi ya ngozi?
 
Mwqnamke yeyote ambaye sijavutiwa naye siwezi mwaapproach hasa hasa asiyejielewa. Kuna KE ukikaa naye hata nusu saa unaelewa tu huyu hasomeki kelele nyingi stori hazina wiano, n.k
Ulishawahi kumtamani supastaa yeyote? unaweza kumtaja?
 
Kutamanishwa : aliye simple ana asilimia nyingi saana. Dress ziwe simple .

Rangi : maji ya kunde na BBW Ule weupe wa kun'gaa saana hapana bro
Ohoo, Huwa unachukua uamuzi gani baada ya msichana uliyempenda kukukataa? Je ilishawahi kukutokea? Ulichukua uamuzi gani?
 
Alinitongoza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] [emoji115] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Ohoo, Huwa unachukua uamuzi gani baada ya kumsichana uliyempenda kukukataa? Je ilishawahi kukutokea? Ulichukua uamuzi gani?
Ilishawahi nitokea.
Kwa mwanaume yeyote kukataliwa inauma na mimi kama mwanaume lazima niumie.

Mimi huwa nachukulia kama ni challenge, ameona kuna kitu/kigezo sina ndiyo maana amenikataa. Na huwa na fight kukamilisha hicho kigezo nikishakigundua japo sirudi kwake tena.
 
Unahisi zamani wakati unatongoza ulikuwa unakosea sehemu gani ambayo sasahivi umeirekebisha?
na ni kitu gani ambacho unahisi unacho au endapo Ukiwa nacho kitakurahisishia wepesi wa kuwang'oa mademu?
Daby
 
Ilishawahi nitokea.
Kwa mwanaume yeyote kukataliwa inauma na mimi kama mwanaume lazima niumie.

Mimi huwa nachukulia kama ni challenge, ameona kuna kitu/kigezo sina ndiyo maana amenikataa. Na huwa na fight kukamilisha hicho kigezo nikishakigundua japo sirudi kwake tena.
Hahaha Ninja wewe muoga sana kumbe? Inamaana haujawahi kumkazania msichana aliyekukataa mwanzoni,
I mean ukamng'ang'ania mpaka akakukubalia?
 
Back
Top Bottom