STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Kwanza kabisa namshukuru Mh. Daby (mkemia mkuu & msemaji mkuu wa kambi ya kiumeni) kwa kuukubali wito huu wa mahojiano haya mubashara kutokea hapa makao makuu ya kambi za kiumeni.
Ulinzi umeimarishwa vyakutosha hivyo hakuna uvamizi au utekaji wowote utakaotokea.
Naomba tu niseme ya kwamba intavyuu hii ya leo itahusisha vitu viwili ambavyo ni KUTONGOZA & MUONEKANO (appearance).
Shoo hii itasimamiwa na STUNTER pia kama kawa mwisho kutakuwa na nafasi ya wengine kuuliza maswali yao juu ya mada tajwa hapo juu.
Ninawaomba wote tuwe watulivu! wenye kuagiza popcorn waagize mapemaaa kabla mtanange haujaanza.
N.B: Leo ndo ile siku ambayo kinyozi ananyolewa, Yaani namaanisha hatumwi mtoto dukani leo.
KARIBUNI..