Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Siku ya kwanza kutongoza nilimtongoza dem mwenye umri mkubwa kunizidi baada yakumwambia mpango wangu alinivuta chember kilichofatia baada ya hapo nilikula kichapo cha haja kutoka kwa Darling of my heart..
Teh Teh, it happened, [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwanza kabisa namshukuru Mh. Daby (mkemia mkuu & msemaji mkuu wa kambi ya kiumeni)
kwa kuukubali wito huu wa mahojiano haya mubashara kutokea hapa makao makuu ya kambi za kiumeni.
Ulinzi umeimarishwa vyakutosha hivyo hakuna uvamizi au utekaji wowote utakaotokea

Naomba tu niseme yakwamba intavyuu hii ya leo itahusisha vitu viwili ambavyo ni KUTONGOZA & MUONEKANO(appearance).
Shoo hii itasimamiwa na STUNTER pia kama kawa mwisho kutakuwa na nafasi ya wengine kuuliza maswali yao juu ya mada tajwa hapo juu,
Ninawaomba wote tuwe watulivu! wenye kuagiza popcorn waagize mapemaaa kabla mtanange haujaanza.
N.B
Leo ndo ile siku ambayo kinyozi ananyolewa, Yaani namaanisha hatumwi mtoto dukani leo
-
KARIBUNI
Ok.nyie lianzisheni mimi nitakuwa bordgurd pembeni
 
Sitaweza kusema nimetongoza mara ngapi maana ni mara nyingi saana. Sikumbuki zingine.

Nakumbuka for the first time natongoza ilikuwa primary. Nilikuwa napenda kushinda na watu walionizidi umri kidogo sasa katika stori nikikaa nao wanagusia haya mambo. Nikajikuta nimeamua kuaaproach bwana... can you imagine nilimfuata mtoto wa jirani nikamwambia nipe (--) alilia saana na alimwambia mama yake nilikuja kuchezea mkon'goto wa kufa shetani.
Nakusoma nakusoma nachukua point tuu endelea
 
a6bcf54056d1b3192ddc657eb3a283d4.jpg
Wee inaonyesha ni mwoga wa kunywa vitu vichungu yaani unachanya na maziwa
 
Nimemsoma kwa makini. Ameruka viunzi vya kutosha. Nilijua atatoa zile siri zetu za chama. Hajatuangusha, tusimtenge.

Mpaka sasa tunaongoza na hatutabiriki kama mbao FC.
Kijana ameiva ilani ya chama imesimama.....nlipo ona interview tena comrade ndio sterling kidogo tuu niitishe kikao cha dharura.
Daby si mjinga kiasi hicho. Anajua chama kingemtumbua. Amekiwakilisha chama vizuri. Atapandishwa cheo soon.
Hapa double promotion......inahusika
 
Daby naomba nikukiss

Stunter naomba nikuhug

Sio kwa interview hii... Big up
 
Hongereni wakuu...imekuwa poa japo Daby karuka viunzi! Inabidi ukuje upate balimi3 za baridi urudie kujibu maswalii budy!
 
Sitaweza kusema nimetongoza mara ngapi maana ni mara nyingi saana. Sikumbuki zingine.

Nakumbuka for the first time natongoza ilikuwa primary. Nilikuwa napenda kushinda na watu walionizidi umri kidogo sasa katika stori nikikaa nao wanagusia haya mambo. Nikajikuta nimeamua kuaaproach bwana... can you imagine nilimfuata mtoto wa jirani nikamwambia nipe (--) alilia saana na alimwambia mama yake nilikuja kuchezea mkon'goto wa kufa shetani.
Bila shaka una bonge la experiences
 
Back
Top Bottom