NIYOMBARE
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,718
- 4,231
Sawa mkuu.intavyuu inaweza nipa hata kiki kidogo maana napendaga makiki kama jpm.Jiandae mkuu, muda wowote nitakushtukiza, huwa sitoagi taarifa mimi
Sawa mkuu.intavyuu inaweza nipa hata kiki kidogo maana napendaga makiki kama jpm.Jiandae mkuu, muda wowote nitakushtukiza, huwa sitoagi taarifa mimi
1=Ni mazingira gani Hatari uliwahi kufanya mapenzi na ilikuwaje?? 2=Kufanya mapenzi kinyume na maumbile umekuwa ni mchezo unaopendwa na wengi Je!! Ulishawahi kushiriki?? Kama ndiyo Nini kilikupelekea kufanya hivyo kama ni Hapana unatoa ushauri gani kwa wahusika wa huo mchezo???3=Umewahi kuzama chumvini?? Kama jibu ni ndiyo ulijickiaje??? Na nini faida na hasara za kuingia uvinza????
Nimeshastaafu kakaUnaonaje ukastaafu sasa mkuu haka kamchezo
Mmmmmh [emoji14]Yes niliwahi kuwakubalia.
Kupenda mtu kwangu ni pamoja na maisha yake kwa ujumla na hauwezi kutenganisha kazi ya mtu na maisha.
Sijawahi kufumaniwa. La kukuongezea mwanaume huwa hafumaniwi
Unapenda makiki kama msanii... madaraka ya kulevyaSawa mkuu.intavyuu inaweza nipa hata kiki kidogo maana napendaga makiki kama jpm.
[emoji57][emoji57]Mmmmmh [emoji14]
Wewe ni kijana Jamii inakutegemea unadhani kuwashauri vijana wapakue kile wanachoweza ni ushauri wa busara??Hahah... swahiba maswali magumu saana haya.. mazingira magumu hapana nafanya kwenye mazingira ya kawaida mkuu.
Kinyume sijawahi kufanya na siwezi. Ushauri siwezi washauri lolote ila tu Dunia ni sinia pakua unachoweza.
Hilo la tatu naomba nisikujibu
Toka standard four mkuu unagegeda. Kwa hili unastahili kustaafu, hongera sana mkuuNimeshastaafu kaka
[emoji16][emoji16]Toka standard four mkuu unagegeda. Kwa hili unastahili kustaafu, hongera sana mkuu
hawajambo sanaHawajambo huko?
naelewa huwezi jibu bamdogo sbbu umewapangaKuoa bado.
Mpenzi jf sitajibu bora nipigwe ban mamdogo
Duuuuu umefunguka sasa babu ngoja nikuongeze swaliii........ Kwanini haujaoa hadi sasa????[emoji57][emoji57]
Khaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mkuu.intavyuu inaweza nipa hata kiki kidogo maana napendaga makiki kama jpm.
Daby unaishi mkoa gani?Mwaka jana Dec kyodowe.
Mkuu hata nikitoa ushauri hapa watu watafanya tu.. Naweza kusema ni dhambi ila kuna wengine hawaamini dhambi. Hivyo kwangu naona kila mtu afanye linalomvutia ila asiwakwaze wengine. Ndiyo maana nikasema Dunia sinia pakua unachoweza.Wewe ni kijana Jamii inakutegemea unadhani kuwashauri vijana wapakue kile wanachoweza ni ushauri wa busara??