Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Sitaweza kusema nimetongoza mara ngapi maana ni mara nyingi saana. Sikumbuki zingine.

Nakumbuka for the first time natongoza ilikuwa primary. Nilikuwa napenda kushinda na watu walionizidi umri kidogo sasa katika stori nikikaa nao wanagusia haya mambo. Nikajikuta nimeamua kuaaproach bwana... can you imagine nilimfuata mtoto wa jirani nikamwambia nipe (--) alilia saana na alimwambia mama yake nilikuja kuchezea mkon'goto wa kufa shetani.
[emoji87][emoji87][emoji87]
 
wacha nikaongeze UNI maana huku tunakoelekea huku.....!!!!!
 
Mi nilimzima Lincoln mkaka yule ni fireeeeee nilikuwa naumia akipigwa au alivyogeuzwa kuwa mtu wa ajabu ,alicyokuja pigwa risasi nililiaa aisee,nilitamani awe hadi mwisho wa movie,,,hiyo series ina visa jamani halaf eti tuangalie bongo muvi ili iweje
Lincoln aseeh kuna mtoto alimpenda mule
 
Back
Top Bottom