STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,267
- Thread starter
- #141
Aisee sasa turudi kwenye masuala ya home, ulishawahi kumpeleka home au ghetto demu ambaye haujamtongoza?1. Kwanza nina uwezo mkubwa wa kumsoma mtu. Huwa nachukulia amepatwa na shida kwanza kama zipo nampa ila nikigundua ni wale wazugaji na quit.
2. Kawaida maana nilishawahi kukutana na wa hivyo.
3. Kumhudumia kwa namna gani? Yaani kila kitu? Siwezi maana naishi kwa bajeti ila nitaplay part kama mpenzi wake.
Na tuambie ni vitu gani vya kimuonekano ambavyo unahakikisha vinakaa sawa kwenye mazingira ya home pindi unapotarajia kupata ugeni wa msichana