Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
Eti Inna mpenzi mimi nina dhambi gani?
Eti Inna mpenzi mimi nina dhambi gani?
haaa haaa haaaa haya mkuuHili swali ngoja nimwite mtunza kumbukumbu za chama CHARMILTON
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya mungu tena we sio Wa kispotispotiSitaweza kusema nimetongoza mara ngapi maana ni mara nyingi saana. Sikumbuki zingine.
Nakumbuka for the first time natongoza ilikuwa primary. Nilikuwa napenda kushinda na watu walionizidi umri kidogo sasa katika stori nikikaa nao wanagusia haya mambo. Nikajikuta nimeamua kuaaproach bwana... can you imagine nilimfuata mtoto wa jirani nikamwambia nipe (--) alilia saana na alimwambia mama yake nilikuja kuchezea mkon'goto wa kufa shetani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa Kuna upuuzi na ujinga mtupu.
Maswali ya kiwavi na mjibuji ana jibu kimaandazi nendeni zenu.
Pumba tupu na mashudu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bhanaaaaa pouwaaaaa......mi huwa sipendi kuwa muongo...... Wakati naingia jf nilivyoionaa hiyo avatar yko nilianzisha na thread kbs nikasemsjee.......dah kuna picha nimeiona huku moyo ukapigaaa paaa ila sikuielezeeeAaa chochotee . ......[emoji125] [emoji125] [emoji125]
AhsaaateeeeNimekupenda Jovitha
NimeendaLeo umeenda kansan?
Mkuu una maswali ya msingi sana, credit1=una mke, mtoto au watoto?? Kama ni ndiyo unajickiaje kuitwa Baba?? Na unawashaurije wadada wanatoa mimba na wakaka wanaokataa mimba??
Ahsante japo Daby Alikataa kujibu maswali yanguMkuu una maswali ya msingi sana, credit
Unapatikana wapi broo maana mimi na wewe tunaweza zungumza the same language.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona mpo kwenye juhud za kijisahaulisha ugumu wa maisha.
Mkimaliza intavyuu kumbuken kilo ya unga ni 2300
Nami nmewah siti kusubir intavyuu
Sikukataa bwana nilikujibu kabisa tena kila mmoja akafarijikaAhsante japo Daby Alikataa kujibu maswali yangu
Kiroho safiiiniliuliza muda Tu,ila hamna shida