Cendy
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 1,252
- 2,314
Huwa nikiona daby nasogea karibuHaha unamaanisha nini mwana Mu!
Huwa nikiona daby nasogea karibuHaha unamaanisha nini mwana Mu!
Endelea hivyo mamdogo haya nikutakie usiku mwemabamdogo nakuamini sana jamaan
Ndo hivyo Mkuu wapenda kiki hata JF Wapoooo....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu uliniibia dem wangu swali je nichukue hatua gani ili niweze kukuadhibu?Mamdogo hauniamini tehna
Vipi kwema huko nimepamiss saanaHuwa nikiona daby nasogea karibu
nawe pia baba angu ulale unono ukumbatie mito mana umesema haujaoaEndelea hivyo mamdogo haya nikutakie usiku mwema
Nisamehe tu bwana... mimi mtoto wa mwanaume mwenzioMkuu uliniibia dem wangu swali je nichukue hatua gani ili niweze kukuadhibu?
Huku ni hali ya mvua toka asubuhi mpaka jioni[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kama huna mtoto nishidaVipi kwema huko nimepamiss saana
Nashukuru sana![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani Leo Imebidi tuuu Nichangie Kiukweli Natamani Siku Moja Niwaone DABY Na STUNTER Face to Face Yani Mnanikoshaga Saana Jamani Natamani Niwanunulie hata Lunch.....
Jamaa amechemka... Inatakiwa upigwe maswali mpaka uingie mitini... Bahati yako interviewer sikuwa mimi...ha ha ha ha ha ha.Mkuu mbona nimeiva vizuri tuu
Haha...utakosaje aseeh watoto wamejaa hapo....Huku ni hali ya mvua toka asubuhi mpaka jioni[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kama huna mtoto nishida
Kuna maswali hayajibiki hata siku ukiwa unahojiwa utaaamini nakuambiaJamaa amechemka... Inatakiwa upigwe maswali mpaka uingie mitini... Bahati yako interviewer sikuwa mimi...ha ha ha ha ha ha.
Wangine sio mimi, mi nimeanza darasa la tatu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] we la nneHaha...utakosaje aseeh watoto wamejaa hapo....
Kweli leo umejitahidi kuruka vihunziNisamehe tu bwana... mimi mtoto wa mwanaume mwenzio
Wewe ni weka mbali na watoto haufaiWangine sio mimi, mi nimeanza darasa la tatu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] we la nne
Sio vibaya kumuhifadhi Kakaako na yeye atakuja kukuhifadhi.Hehehe nilijua tu..ndo mana mm nimekuja kukomenti tu huku sijahangaika kusoma ya nyuma
Wax kuna maswali hayajibiki kiurahisi rahisi labda ningekuwa na balimi 5 kichwanKweli leo umejitahidi kuruka vihunzi
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Wewe ni weka mbali na watoto haufai
Kesho bro wacha niwakimbie[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Indeed ananhifadhigi sana na mm ngoja nmute ndo mana sijamwuliza kituSio vibaya kumuhifadhi Kakaako na yeye atakuja kukuhifadhi.