Cyprian Musiba Anadaiwa zaidi ya Tsh13 bilioni kwa amri za Mahakama Kuu, iwapo atashindwa kulipa ni nini hatma yake?

Atajiua huyu, waliojaribu nae wamchunge hata akienda chooni maana anaweza kujitumbukiza humo! Alipe hizo pesa kwanza.,,
 
Mtu mweusi akipata vihela anakuwa na kiburi cha kufa mtu, dunia yote yake.utadhani ataishi milele, butt co wote wako hivyo.
 
Mttandao gani unapokea Bilion 7?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mdai ndio anagharamia chakula cha mdaiwa?! Kwahiyo unanunua haki yako?

Ndio hivyo Kama Njia ya kushinikiza ulipwe haki yako.
Ujue kukaa jela mtu anakosa Uhuru wake na unapoteza mambo Mengi Kama hujajipanga vizuri so inakuwa Kama kushinikiza ulipe deni ili uwe huru.
So utakaa ndani hadi ulipe au mdai ashindwe kugharamia gharama hizo za magereza kumuhifadhi mdaiwa
 
Atalipa tu. C ana pesa alizokua anakusanya kwenye ule uchawa wake. Afu makaratasi yote yale alokua anaandika upumbavu wake akiyachukua akayaloweka c anatengeneza ule mkaa wa makaratasi anauza. Atapata tu hela.

Pia kuna CCM walokua wanamtuma. Wanachama wote wakichanga kama ilivyofanyika kwa wanachama wa CDM jamaa hatoki kweli? Aaa ukorofi huooo
 

Adhabu ya kifo je?
 
Anasema analima pumbavu huyu.ati wakiona umuhimu wake watamwita
 
Hapo namba 2 atakulipa vipi kama tayari yupo gerezani

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…