Current four star Generals in Tanzania


Mkuu Paskali, wakati JPM anaingia Gen. Mabayo alikuwa Maj. General, alipandishwa cheo na Rais Kikwete 2014 yeye pamoja akina Maj. Gen. Milanzi.
Kumbukumbu zangu ni kuwa kabla Gen. Mabeyo hajawa CDF aliteuliwa na JPM kuwa CoS na baada ya kustaafu Gen. Mwamunyange ndipo Gen. Mabeyo aka-take over.


Rejea taarifa hii toka tovuti ya gazeti la mwananchi.
 
Colonels wanaongoza wangapi?
Uuongozi wa Jeshi ni clusters zenye idadi fulani.
the lowest ni unit, ina watu 9 ma privates, wanaongozwa na Koplo.
Units 3 zinaunda Section, ina askari 30, ma koplo 3 na inaongozwa na Sergeant
Section zikiwa tatu, zina askari 90, makaplo 9, ma Sergeant 3, zinaunda plotoon wanaongozwa na Luteni, hivyo cheo cha Luteni ni platoon Kamanda.
Platoon zikiwa tatu, zina askari 360, zina ma koplo 36, ma sajenti 12, na ma luteni 3, zinaunda Coy, na inaongozwa na Major.
Coya zikiwa 3 zina askari 1080, zina ma koplo 108, masajenti 36, maluteni 9, zinaunda kikosi, au batallion kinaongozwa na Colonel, ndio zile mnasikia kambi ya jeshi.
Vikosi au Batallion vikiwa 3, vinaunda Brigedi, inaongozwa na Brigedia, jina jingine la Brigedier ni Brigade Commander
Brigade zikiwa 3 zinaunda Divisheni, na zinaongozwa na Major General, hivyo jina jingine la Maj. Gen ni Division Commander.
Division zikiwa tatu, ndio zinaunda Jeshi kamili na linaongozwa na Generali.

P.
 
Mkuu JokaKuu
Kwenye NCOs kuna
Junior NCOs Private, Coplo Usu na Coplo
Senior NCOs Sergeant, Staff Surgent na Sir Major.
P

Naomba nikusahihishe kidogo.
Kwenye vyeo vya kijeshi kuna makundi mawili ya vyeo;
*Commissioned Officers na *Non-Commissioned officers
Na unapofafanua haya makundi kwenye vyeo kwa upande wa NCO's vimegawika mara nne.
*Kuna Askari - Private/Ts
*Kuna Jnr NCO's ni Cpl pekee
*Kuna Snr NCO's ni Sgt hadi Staff Seargent
*Kuna Warranty officers 1&2 (Maafisa wateule 1&2)

*Na kwa upande wa officers kuna Jnr Officers 2Lt - Captain
*Snr officers Maj - Colonel
*Kuna Majenerali kuanzia Brigadier - General.

Private sio Jnr Nco ni askari.
Pia L/Cpl (Cpl usu) sio Jnr Nco bali ni Pte mwenye umbele.
 
Hapo Kenya jirani kuna yule mpinzani aliyekimbilia Canada nae anajiita general nimemsahau jina [emoji1787]
Miguna Miguna lipelekwa Canda kwa nguvu baadavya kumwapisha Raila kuwa Rais wa watu wa Kenya.
General Miguna alikuwa sio mwanajeshi.
Ni kama waganga wanavyojiita Profesa wakati sio wasomi.
[emoji23][emoji23]
 
Thanks for this.
P
 
Second lieutenant -*
Lieutenant **
Captain***
Major-ngao ya taifa
Lieutenant colonel-ngao ya taifa *
Colonel-ngao ya taifa**
Brigadier ×
Major general×*
General×**
Lieutenant general
 
Thanks for this.
P
 
Alibakari kuna dogo hapo juu ukasome kanasema Lt colonel ni junior officer [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Jeshi la ardhini sio infantry ni Land force
Jeshi la anga - Air force
Jeshi la majini - Navy
Na Jeshi la kujenga taifa JKT (NS)
Hizo zote ni kamandi za JWTZ.
 
JKT iko ndani ya JWTZ.

FFU iko ndani ya Police (ni Unit ya Police kama ilivyo Traffic police).

1. JWTZ,
2. Police, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto (level moja)
3. Mgambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulinzi na usalama ni issue ya muungano lakino jkt sio jambo la muungano, umenichanganya ulivyosema ipo ndani ya jwtz hebu nifafanulie mkuu
 
Alibakari kuna dogo hapo juu ukasome kanasema Lt colonel ni junior officer [emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu nimechelewa kuuona huu uzi, nimekuja kuuona too late, naona watu wanavyolishana matango pori tu!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Hata hivyo big up sana Nyani Ngabu.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 

Kwa hiyo maana yake kuwa na top rank officers inategemea na ukubwa wa jeshi
Hivyo ndio ninaelewa
Jeshi kama la Rwanda haliwezi kuwa Na Lieutenant General labda waamue tu kumpa
 
Kama na wewe ni askari jeshi basi RTS kumeisha yani Lt colonel ni junior officer wewe ni nanga la kimataifa aisee

Nikuulize kwa nini wastaafu lt colonel huku mitaani wanapenda kujiita colonel hawaitaki hii lt.

Na Mabrigenia generali na hujita majenerali hawataki kuanza na brigedia.
 
Kwa hiyo maana yake kuwa na top rank officers inategemea na ukubwa wa jeshi
Hivyo ndio ninaelewa
Jeshi kama la Rwanda haliwezi kuwa Na Lieutenant General labda waamue tu kumpa
No it depends on the formation ya jeshi husika, sisi mfumo wa jeshi letu ni wa Uingereza, kuna nchi zina jeshi dogo, wana ma generals kibao, wana hadi field marshal.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…