Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,751
- 3,693
Ngoja nikutoe tongo tongo, Brigadier akifariki jeneza lake linatakiwa libebwe na mabregadier wenzake. Je vipi kwa Commander in chief?
Iko namna ila tu hujui kujieleza!
Balaghau wahed!!Nimesimuliwa kwenye kijiwe cha gahawa
Balaghau wahed!!
GiGO....[emoji706][emoji706][emoji706]Gabage in gabage out!
MuundoView attachment 1754602
Mimi si mjeda. Sijui mengi kuhusu ujeda. Sijui mengi kuhusu mengi.
Ni mbeba maboksi tu. Wengine husema nimeishia darasa la saba. Wengine hudai nimeishia kidato cha nne.
Hivyo, sina mengi niyajuayo. Ila, ninao uungwana wa kukubali nisiyoyajua.
Na dawa ya kuyajua usiyoyajua ni kujifunza.
Kujifunza kuko kwa namna nyingi. Moja ya hizo namna ni kuuliza.
Leo nauliza hivi: Hivi kwa Tanzania huwa tuna jenerali mmoja tu kwa wakati mmoja aliye jenerali kamili, yaani yule mwenye nyota 4?
Kama sijakosea, mkuu wa majeshi ndo huwa jenerali kamili mwenye nyota 4 tu kwa wakati mmoja. Jenerali huyo akistaafu ndo mwingine [labda luteni jenerali] anapandishwa cheo na kuwa jenerali kamili halafu ndo anakuwa mkuu wa majeshi.
Kwa nini iko hivyo? Tumeiga sehemu labda?
Najua India kwa mfano, kuna four star generals zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.
Marekani currently wana four star generals 45, kama sijakosea.
Kwa mnaojua, kwa heshima na taadhima zote, naomba mnifute huu ujinga nilionao.
Shukran jazilan [emoji120].
JWTZ =TPDF. Majeshi Tz ni hayaHapa ndio mimi huanza kuchanganyikiwa! Samahani nipatie elimu...
Tanzania People's Defence Forces ndio JWTZ ambayo ndani yake ndio kuna Police Tanzania, Magereza, Fire, JKT na majeshi ya Anga, Maji na Special Forces?
Kama unaweza naomba unipatie orodha kamili ya majeshi yote na vitengo.
Aisee! Mkomavu chukua mtu wako!! Naona nakinga maji kwa kutumia mosquito net....[emoji125][emoji125][emoji125]Ulitaka Mpambe wake kwenye masiba/ nnazishi ahusike akiwa kavaa kaunda suit ama taxedo nyeusi wakati kwa heshima yale ni mazishi ya Kijeshi!
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Mkuu JokaKuu, thanks for tagging me. Yote uliyosema ni kweli.
Kwenye jeshi kuna makundi makuu mawili ya askari, NCOs (non commissioned officer) na COs (Commissioned Officers). Kamisheni inatolewa na CinC.
Kwenye NCOs kuna
Junior NCOs Private, Coplo Usu na Coplo
Senior NCOs Sergeant, Staff Surgent na Sir Major.
Kwenye COs kuna makundi 4
Junior Officers, 2nd Lieutenant, Lieutenant na Captain.
Seniors Officers ni Major, Lieutenant Colonel and Colonel
Cheo cha mwisho kwa mwanajeshi kupanda kwa logical progression ni Colonel.
Staff Officers, hawa ndio majenerali, Brigadier, Major General, Lieutenant General na General.
Vyao hivi vya staff officers havipandi kwa merits only but by appointment ya CinC, na mfano mzuri ni uteuzi wa CDF aliyepo.
Alipoingia tuu umri wa kustaafu wa CDF aliyepo uliusha pita, hivyo alipoangalia list ya wa chini yake hakupendezewa. Akamuongezea miaka 2 CDF aliyepo, na kumelevate the chosen one fasta fasta from Colonel to Brigadier, within no time Major General then Lieutenant General ndipo akamruhusu CDF kustaafu.
Hii hufanyika sana Jeshini na ilianzishwa na Nyerere, Mtanzania wa kwanza kuwa na highest rank wa jeshi letu la Tanzania huru ni Colonel Kashmir na Mirisho Sarakiya one of them should have been CDF, Mwalimu was uncomfortable nao, wakaondolewa jeshini kupewa post uraia.
This happened again baada ya vita vya Kagera, Baada ya Twalipo chini kulikuwa na kina Mayunga, Cuthless, Wolden, Sayore ili kumuinua wachini, wale deserving wanaondolewa jeshini unamuinua umtakaye.
Chini ya General Mwamunyange, sijui waliokuwa na seniority ya kumpokea ni kina nani, na walipelekwa wapi, lakini CDF aliyepo ili ibuka like a mushroom, na kwa tetesi za mtaani, he is the only source of political stability and the tranquillity iliyeendelea hadi Samia kuingia.
Hivyo whoever picked this man, did the right thing.
P
Wasukuma ni watu poa sana, ila ndiyo hivyo tunapakwa matope kwa sababu za kijinga kabisa tena watoto wa chuo.Yes kwa mujibu wa tetesi za mitaani. Ni kweli Wasukuma wa Chapa ng'ombe tuu ndio washamba ila Wasukuma wenye exposure, wako vizuri, na kiukweli ndilo kabila linaloongoza kwa kuwa na watu poa sana. Hata haya mambo ya Jeshini si mmeona wenyewe...
PJe, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?
Wanabodi, Hii ni thread ya swali tuu, sio thread ya udini au ukabila. Je, kuna uhusiano wowote kati ya dini/kabila la mtu na ukakamavu ndani ya majeshi yetu nchini Tanzania? Je, kuna uhusiano wowote wa kati ya kabila la mtu na ukakamavu wa majeshini? Je, watu wa dini fulani au makabila fulani...www.jamiiforums.com
Vipi kuhusu Abdulahman Shimbo na Luten General Ndomba ?Kwa nchini kwetu Tanzania kwa muda mrefu serving CoS ndio wamekuja kuwa CDF kama umri unamruhusu, mara anapo staafu CDF.
Msome vizuri uliyemquote, amenena vyema sana!Vipi kuhusu Abdulahman Shimbo na Luten General Ndomba ?
Wamekirahisisha hiko cheo wanapanda hovyohovyo tuuHow sure are you?
Ok, basi nitajie hata watatu watatu kutoka katika hizo nchi ambao ni active four star general, taja hata watatu tu kutoka Burundi!Wamekirahisisha hiko cheo wanapanda hovyohovyo tuu
Majina siyakumbuki ninachokumbuka kila vikundi vya waasi walikuwepo majenerali achilia mbali waliopo katika serikali zao.Ok, basi nitajie hata watatu watatu kutoka katika hizo nchi ambao ni active four star general, taja hata watatu tu kutoka Burundi!
Ukubwa na muundo wa jeshi unachangiaKwa nini iko hivyo? Tumeiga sehemu labda?
Junior NCOs koporo usu mpaka Ssgt.
Senior NCOs ni kwa Warrant officers 1 na2
Senior officers inaanzia Kanali na kwenda juu. Angalia ADC wa Mama na wa Mwinyi jr ujifunze kitu kwa Marais hawa wawili katika nchi moja.
Hivyo vyeo vinaashiria ukubwa wa jeshi. Yaani kila cheo, hata koplo mwenye V 2 ni kiongozi wa kikundi fulani ndani ya jeshi.View attachment 1754602
Mimi si mjeda. Sijui mengi kuhusu ujeda. Sijui mengi kuhusu mengi.
Ni mbeba maboksi tu. Wengine husema nimeishia darasa la saba. Wengine hudai nimeishia kidato cha nne.
Hivyo, sina mengi niyajuayo. Ila, ninao uungwana wa kukubali nisiyoyajua.
Na dawa ya kuyajua usiyoyajua ni kujifunza.
Kujifunza kuko kwa namna nyingi. Moja ya hizo namna ni kuuliza.
Leo nauliza hivi: Hivi kwa Tanzania huwa tuna jenerali mmoja tu kwa wakati mmoja aliye jenerali kamili, yaani yule mwenye nyota 4?
Kama sijakosea, mkuu wa majeshi ndo huwa jenerali kamili mwenye nyota 4 tu kwa wakati mmoja. Jenerali huyo akistaafu ndo mwingine [labda luteni jenerali] anapandishwa cheo na kuwa jenerali kamili halafu ndo anakuwa mkuu wa majeshi.
Kwa nini iko hivyo? Tumeiga sehemu labda?
Najua India kwa mfano, kuna four star generals zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.
Marekani currently wana four star generals 45, kama sijakosea.
Kwa mnaojua, kwa heshima na taadhima zote, naomba mnifute huu ujinga nilionao.
Shukran jazilan 🙏.
Gari lake nyota 1Hujamfafanulia vizuri,
Unaposema Brigadiier Ana nyota 1 atadhani Ni moja Kama ya Luteni Usu,
Nyota mbili atadhani Ni Luten kamaili,
Nyota tatu atadhani Ni Captain.
Ingekua vizuri umwambie kuwa Brigadiier Ana alama Fulani ikiambatana na nyota kadhaa.Na kuendelea.
Tusaidie Mkuu.
Luteni usu mpaka kapteni ni junior officersJunior NCO ni Lance Koplo na Koplo
Sajenti ni Senior NCO kumbuka Mess zimepangwaje kivyeo , Sajenti anakula Mess moja na mastaff sajenti na Makolokolo wote
Kuanzia Meja mpaka kanali hawa ni senior officers, meja hawezi pewa adhabu ya kifungo na CO
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app