Corona virus wanakufaje kwa kufukiza?

Corona virus wanakufaje kwa kufukiza?

Unatakiwa usome zaidi mkuu badala ya kuandika mawazo yako. Namimi naomba majibu ya hili swali?
Sasa kwanini wagonjwa wa Surua walikuwa wanapona kwa kuvukizwa miaka ya 90, kwani yule anaye sababisha Surua sio VIRUS? Kwanini mgonjwa. Kuna kitu Bado mnatakiwa mjifunze zaidi mweelewe kiundani kuhusu mechanism ya kujivukiza na kunywa maji ya moto. Maana hata wazungu pia wanashauri wa wagonjwa wao watumie hivyo vitu.
Virus sio wa aina moja na wako sampuli nyingi. Tabia yao ya kujibadilisha-badilisha kulingana na mazingira au hali wanayokabili inawafanya wawe completely irrepressible kiasi kwamba hayo mambo ya ufukizaji ni Myths tu.
 
Ukinywa pombe joto la mwili linaongezeka pia.
Hahahaha. Panadol inashusha joto la mwili, kujifusha kunaongeza joto la mwili.

Kuongeza joto la mwili na kui boost immune system.
 
Sayansi zenu zilishafel bro acha tujifukize


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naona umekomaa na hilo swali,ngoja nikueleze!Unajua kuwa kuna watu wanapata virusi vya corona na wanapona bila kutumia dawa yoyote wala kujifukiza?Sasa tukisema watu 10 wajifukize,wakapona 8 na wawili wakafa tutasema wamepona kwa kujifukiza kumbe immune system zao ni kubwa na wala si kwasababu ya kujifukiza!Hao waliopona Surua ni by chance,hata wasingejifukiza wangepona tu!
Mkuu hupo kwaajili ya kujifunza ndio sababu. Unajua kwanini tunavukiza lkn au unaongea kwa mihemko tu. You have to understand science behind ya steaming and humiditing
Virus sio wa aina moja na wako sampuli nyingi. Tabia yao ya kujibadilisha-badilisha kulingana na mazingira au hali wanayokabili inawafanya wawe completely irrepressible kiasi kwamba hayo mambo ya ufukizaji ni Myths tu.
Mkuu huwezi kunidanganya kuhusiana na virus, yawezekana naelewa kuliko wewe. Project zote zinazo endelea kuhusu chanjo na madawa mimi nazielewa vizuri. Hata dawa wanazotumia wachina pia nazijua mkuu hivyo nayajua mengi kuliko wewe. Mimi hata dawa nimeziona kwa macho zinazo tibu huo ugonjwa sema kuzipata hizo ndio changamoto.
 
Mkuu nyungu zinauzwa Matema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakimbilia wapi, na huku ndo hivyo korona ndo kwanza anapigiwa mapambio ya vinubi na ngonjera,ametawala kila mkoa sasa nchini TZ na wakuu hawaoneshi dalili ya kuchukua hatua za kudhibiti maambukizi.
Na huko Us ndo hivyo Munakaribia 70,000 waliokufa sasa hali ni tete dunia nzima, we bora ukane tuu utanzania kwa muda ili uondowe aibu.
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Atatunusuru Hali Mbaya
 
Hata zaman tulikuwa tunaweka mchanga kwenye kidonda kukata dam,

Jaribu leo uone balaa lake kama ukatwi mguu
Mkuu, tumia ufahamu japo kidogo. Hapa tunaomgea tiba za watu wazima, sio michezo ya kitoto. Haiyumkini utadai pia ulikuwa ukikojoa mtoni unashika kitovu!! Acha hizo mkuu, tuwe serious, kufukoza haijawahi kuwa michezo ya kitoto hata kidogo.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Mkuu, tumia ufahamu japo kidogo. Hapa tunaomgea tiba za watu wazima, sio michezo ya kitoto. Haiyumkini utadai pia ulikuwa ukikojoa mtoni unashika kitovu!! Acha hizo mkuu, tuwe serious, kufukoza haijawahi kuwa michezo ya kitoto hata kidogo.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk

Haikuwa ya watoto
Inategemea na umri wako umeanza kuona lini hizo mambo
 
Haikuwa ya watoto
Inategemea na umri wako umeanza kuona lini hizo mambo
Mambo ya kitoto na wengine walikuwa nayo. Tuwe serious kidogo

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Mambo ya kitoto na wengine walikuwa nayo. Tuwe serious kidogo

Sent from my SM-A720F using Tapatalk

But kwa akili ya kawaida, hivi virus ambae yuko tayari ndani ya mwili anakuwaje affected na joto la kujifukiza?

Me naona kama kujifukiza ni nafuu sana kwa mtu ambae ana Mafua
 
But kwa akili ya kawaida, hivi virus ambae yuko tayari ndani ya mwili anakuwaje affected na joto la kujifukiza?

Me naona kama kujifukiza ni nafuu sana kwa mtu ambae ana Mafua
Huoni kama mafua ni Virus pia? Nadhani ni vema kila mtu apigane upande wake. Mimi sijawahi kufikiria kujifukiza ila siwezi kubeza juhudi mbalimbali wanazofanya watu kwani mpaka sasa HAKUNA JIBU SAHIHI DUNIANI.

Leo nimepigiwa simu na rafiki yangu wa siku nyingi, ananihoji kama nataka dawa ya kujifukiza, nimemwambia inafanyaje kazi? Jibu lake, virus hao ni mafuta kiasili, hivuo wanakwenda kwenye mapafu kushambulia na kujiongeza (mafuta) hivyo kuziba njia za hewa. Kujifukiza kunayeyusha hayo mafuta na kufungua njia za hewa.

Sasa nimeona niwashirikishe hapa kwani mimi binafsi sijui ukweli wa hawa virus. Muhimu ni kwamba pale yanapotokea majanga yasiyo na majibu sio sahihi kuwazuia watu wasijaribu njia mbalimbali kwani hata ugunduzo huja kwa namna hiyo.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Tajiri Mapesa,
Sasa wewe umeponya wangapi. Huo ujuaji wako hauna maana make na wewe uko tu kwenye folen kama sisi wengine kusubiri wajanja watugundulie chanjo.

Nchi zetu hizi tunasoma sayansi kwa kuiga tu lkn kiukweli hatuna lolote ni kupoteza muda tu.

Ktk nchi hii toka nizaliwe sijawahi kusikia serikali ikiwa imetenga hata shilingi moja kwa ajili ya Scientific Research yoyote. Tumejaza wanasayansi kibau wa 'Theory' tu, ndio kama nyie. Bila research hakuna science ni usanii tu wa kula pesa.
 
Ndege ya abiria inapofikia kubeba nyanya,vitunguu,malimao,pilipili,nyama ya mbuzi nk.ni aibu yetu sote kwa sababu ya watawala wasiofuàta taratibu.Kila kitu/mahali ni kucheza rough.
Hizo ndege siyo designed kwa ajili ya mizigo.COVID ikiisha nitakuwa scrappers.
Halafu watetezi watakuja kukubishia
 
ushirikin
Yaani karne hii viongozi wakubwa wa serikali akiwemo mate wangu Jafo wanapiga picha wakiwa na misufuria imejaa mitishamba ambayo haina uthibitisho wowote wa kisayansi huku wengine wamejifunika mashuka. Alafu wanaposti kwenye mitandao, ni jambo la kufikirisha na huku mikoani kila mtu anachuma majani anayoamua mwenyewe.
Hiyo ni dalili ya ushirikina uliokithiri, Watanzania hata elimu ya kufuta ujinga haijatusaidia kivile kumbe hata walioenda vyuo vikubwa pia wamo! Ninachojiuliza,tiba hii imetibu wangapi? Miti na mimea inayotumika imepitia tbs?Dozi halisi ni kiasi gani na nani walengwa,ni wagonjwa au wanaojikinga?

Jamani, tujitahidi kuficha uzembe huu wa kimamlaka(watawala) wemetugeuza vigagula kwenye janga hili LA Dunia tuchezee maisha rehani?

Ikibidi Watanzania wote tupewe likizo kama ya Baba na marupurupu yetu tuji lockin.
 
Back
Top Bottom