Corona virus wanakufaje kwa kufukiza?

Corona virus wanakufaje kwa kufukiza?

Kujifukiza, kujifusha au steaming ni simple technique ya ku ease mafua na ku boost immune stem. That's all. Na inatumika dunia nzima si Tanzania tu.

Sijawasikia wala kuwasoma pahala popote kuwa kujifukiza kunaua virus au kunatoa virus kwenye lungs.

Tusizushe uongo.


Bibie wa Kipata kashawakimbia
 
Unapopata COVID 19 (ambapo hakuna dawa) katika harakati za kufanya yao mwili unapata madhara mengine kama homa, koo kukauka, kifua et al.

Maana yake nini mfano unapika kwa kutumia kuni ndani ya nyumba wakati zinapoungua moshi utajaa na chances kila mtu aliendani atakohoa, kwa ivyo ukifingua madirisha na mlango moshi ukitoka hali ya hewa inakuwa safi na kila mtu ataacha kukohoa; sasa aina maana moto wa kuni nao umezima.

Ndio COVID 19 inapofanya yake moshi wake ni homa, koo kukauka, mafua, mwili kuchoka etc. Kwa ivyo wewe ukila paracetamol, sijui ukichemsha malimau, kujifukiza (ni sawa na kufungua madirisha moshi wa kuni utoke hila ujazima moto).

Kitu pekee kinachoweza ishinda Corona ni immune system na wengine zao imara hasa vijana na wengine zao ni weak haswa wazee na wagonjwa; immune system ndio inayoamua aina ya madhara utakayopata COVID 19 akishaanza kufanya yake (mpaka kinga rasmi itakapo ingia mtaani).
Kwahiyo mkuu, inamaana immune system ya mtu inaweza kupambana na hawa virus wa Covid 19 na baadae akipimwa anaweza kukutwa negative?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umekomaa na hilo swali,ngoja nikueleze!Unajua kuwa kuna watu wanapata virusi vya corona na wanapona bila kutumia dawa yoyote wala kujifukiza?Sasa tukisema watu 10 wajifukize,wakapona 8 na wawili wakafa tutasema wamepona kwa kujifukiza kumbe immune system zao ni kubwa na wala si kwasababu ya kujifukiza!Hao waliopona Surua ni by chance,hata wasingejifukiza wangepona tu!
Je kuna namna mtu anaweza kujua uimara wa immune system yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka saidia wengi katika hili. Je, hawa watu ambao tunasikia wamepona Covid 19 walitumia dawa gani ambayo kwasasa wakipimwa wanakutwa ni Covid 19 negative?

Sent using Jamii Forums mobile app
Covid inaleta dalili kama kichwa kuumwa, mafua, kikohozi kikavu.

Hapo kinachofanyika, ni kupambana na hizo dalili. Mfano dawa za kutuliza maumivu. Hata hiyo kujifukiza ni kukusaidia tu kama ulikuwa wa kupona. Ina maana kama hauna magonjwa mengine.

Kuna wanaotumia panadol, vicks nk kupunguza maumivu tuu na kujipatia unafuu hadi upone hilo gonjwa.

Pia watu wenye matatizo kwenye mfumo wa upumuaji hawashauriwi kujifukiza.
 
kuna post humu inaeleza jinsi hawa washenzi virus wanavyo dedi kwa steam.
moja kati hizo post iliwasilishwa humu na bi jamii forum faiza fox.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana! sivyo hivo! yeye iliwasilisha wazo la Mh. Raisi Magufuli,yeye ndiye aliye towa tiba hiyo na kuwataka watu watumie.
Huyu Faiz Fox yeye kaleta uzi ili Kuunga mkono wazo la Raisi tu.
 
Si lazima wafe hapo hapo lakini pia inaweza kuathiri utendaji wao ndani ya mwili na kuwadhoofisha kisha kinga ya mwili ya asili ikawamalizia!! Utafiti katika hili ufanyike. Pia wizara husika ifuatilie jirani zetu wa Rwanda na Uganda wanafanyaje? Majirani hao hawana hata kifo kimoja kinachotokana na corona virus.
Unaongea vitu gani wewe? Utawezaje kuuwa kitu kisichoishi?
 
Before you try Kujifukiza, know that the virus is stable at 56°C for 30 minutes. Now, can your throat and Lungs survive 56° C for 30+ Minutes?

• Human Body Temperature is 37°C
• Human skin (which is tough) takes 5 minutes to get burnt at 48° C View attachment 1436938

Tunaambiwa kwamba coronavirus kabla ya kufika kwenye mapafu wanakaa kooni kwa muda wa siku nne baada ya hapo wanashuka kwenda kwenye mapafu.

So kwa tahadhari ulioionesha hapo juu, ningependa upendekeze njia sahihi ya kukabiliana na virus hao kipindi wakiwa bado kooni.
 
Unapofanya steaming unaingiza mvuke kwenye Koo, nalo linajihami kwa kutengeneza mucus au makamazi badae unabanja unamtemeamo na korona, sio corona tu hata taka nyingine Kama vumbi

Labda niulize Kama varus sio kiumbe hai anazaliana vipi?
Viruses are not living things. Viruses are complicated assemblies of molecules, including proteins, nucleic acids, lipids, and carbohydrates, but on their own they can donothing until they enter a living cell. Without cells, viruses would not be able to multiply. Therefore, viruses are not living things.
 
Kujifukiza, kujifusha au steaming ni simple technique ya ku ease mafua na ku boost immune stem. That's all. Na inatumika dunia nzima si Tanzania tu.

Sijawasikia wala kuwasoma pahala popote kuwa kujifukiza kunaua virus au kunatoa virus kwenye lungs.

Tusizushe uongo.

Inawezekana haujafahamu kitendo cha kujifukiza kinatakiwa kufanyika katika stage ipi.
 
Msomi kama mimi niliyetoa matongotongo Ulaya na America siwezi kufanya uchawi kijinga namna hiyo
Weka akiba ya maneno msomi. Naona hata viongozi wako kwenye eneo hilo wameweka hiyo akiba.
 
kuna post humu inaeleza jinsi hawa washenzi virus wanavyo dedi kwa steam.
moja kati hizo post iliwasilishwa humu na bi jamii forum faiza fox.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mama, is she a professional medical personnel or a mere bush doctor or a sooth sayer.

Has she made any experiment and which person has she used as a guinea pig to justify her claim?

It's high time people stopped betting on this pandemic and instead make the way for the professional virologists to find the definite cure.
 
Hakuna dawa ya surua wala kufukiza hakuponyi watu,ni kinga ya mwili tu inaweza kuvishinda virusi.
Sasa kwanini wagonjwa wa Surua walikuwa wanapona kwa kuvukizwa miaka ya 90, kwani yule anaye sababisha Surua sio VIRUS? Kwanini mgonjwa. Kuna kitu Bado mnatakiwa mjifunze zaidi mweelewe kiundani kuhusu mechanism ya kujivukiza na kunywa maji ya moto. Maana hata wazungu pia wanashauri wa wagonjwa wao watumie hivyo vitu.
 
Soma ukiwa umetuliza akili,acha kukurupuka.
Moshi na moto ametumia kama mfano tu.damn.
"Kujifukiza" kunakomaanishwa si kwa moshi, neno linalotumika si sahihi, neno sahihi ni "kujifusha" au kufanya nyungu, ni kutumia mvuke (steaming), siyo moshi.
 
Unajua maana analogy?
Jisome tena, umeandika hivi "mfano unapika kwa kutumia kuni ndani ya nyumba wakati zinapoungua moshi utajaa na chances kila mtu aliendani atakohoa".
 
Before you try Kujifukiza, know that the virus is stable at 56°C for 30 minutes. Now, can your throat and Lungs survive 56° C for 30+ Minutes?

• Human Body Temperature is 37°C
• Human skin (which is tough) takes 5 minutes to get burnt at 48° C View attachment 1436938
Bingwa wa kemia dokta magufuli anasemaje ?








kush and Wisdom
 
Back
Top Bottom