Corona virus wanakufaje kwa kufukiza?

Corona virus wanakufaje kwa kufukiza?

Mkuu kuna dawa ya asili ya matatizo ya hay fever?

Sent using Jamii Forums mobile app
Turmeric & Ginger: Naturally hot, spicy and stimulating, these herbs either in combination or separately will stimulate the system, warm the digestion and improve nutrient assimilation. The combination of these two herbs is a specific remedy for allergic rhinitis, hay fever and colds.
chukuwa kipande cha Tangawizi kisafishe kwa maji kiwe safi kisha kipondeponde pasipo na kukimenya kisha weka katika sufuria kisha tia maji vikombe 2 vya maji na chukuwa kipande chamanjano mbichi fanya kama ulivyo fanya kipande kibichi cha Tangawizi kisha uweke pamoja ndani ya sufuria ya maji pamoja na kipande cha tangawizi maji yawe hayo hayo vikombe 2 . Uweke jikoni ipate kuchemka kwa dakika 20. kisha weka katika kikombe kisha kunywa unaweza kutumia hiyo dawa kwa siku mara 3 kila unapo taka kutumia dawa tumia dawa mpya tumia dawa hiyo kwa muda wa siku 3 au siku 5 au siku 7 umepona maradhi yako homa kali.

GINGER AND TURMERIC.jpg
 
View attachment 1440572
Asante sana mkuu.
 
Back
Top Bottom